Control ya wrong parking ni hii...

Bado haijazuia mtu kuisogeza bana...
 
Very creative. Nimekukubali mkuu. Kuna jamaa wananiusumbua kwenye parking yangu hapa town. Naenda kumPini sasa hivi.
 
apo hujanizuia ata kidogo
 
hapo watu watatembea na mikasi ya kukatia nondo kwenye magari yao.
 
Kila mtu atatembea na mkasi------ na funguo mal**a.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…