Mbona hamna kitu mkuuYoyote ile ilimradi uwe na playstore
Mkuu Mimi naifahamu app ambayo mtu akishika simu yako,inampiga picha baade ukija kuifungua unakuta picha yake.Mkuu kama una application ya kuniwezesha kujua endapo niliacha simu na mwingine aliichukua akawa anaikagua like kufungua file tofauti,iyo application iwe inanionesha file zipi zilifunguliwa,unaweza nisaidia?
Weka key loggerMkuu kama una application ya kuniwezesha kujua endapo niliacha simu na mwingine aliichukua akawa anaikagua like kufungua file tofauti,iyo application iwe inanionesha file zipi zilifunguliwa,unaweza nisaidia?
Link tafadhaliMkuu Mimi naifahamu app ambayo mtu akishika simu yako,inampiga picha baade ukija kuifungua unakuta picha yake.
Gesture Lock screen, nenda play store ukaipakueLink tafadhali