Control number UDOM

vicbil21

Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
18
Reaction score
2
Wakuu,

Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti.

Msaada wa haraka wakuu.
 
Wakuu,
Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti

Msaada wa haraka wakuu
Kwa sasa mfumo wao kama hauko sawa,
Hata ku conferm tu mfumo haufanyi kazi

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti.

Msaada wa haraka wakuu.
mkuu hii changamoto ulitatuaje?
 
Wakuu,

Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti.

Msaada wa haraka wakuu.
Samahan ety ulisolve vp hil tatizo
Wakuu,

Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti.

Msaada wa haraka wakuu.
Samahan ety ulisolve vp hili tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…