Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,599
- 112,334
Nahitaji control box ya Toyota surf 1kz diesel engen.
Niko Dar kama wewe ni muhusika au unajuwa wapi nitapata hii kwa bei nzuri naomba tuwasiliane.
Nb: hii gari imeuwa control box 2 kwa kupiga short hivyo muuzaji kama atakuwa na fundi mzuri wa umeme wa magari itakuwa vyema zaidi, ieleweke wazi sihitaji mbambaishaji maana wababaishaji ndio wamenisababishia hii hasara.
nenda ilala huwezi kukosa.
Unafahamu control box si sawa na kutafuta used parts nyingine?
ni sawa sawa....nimenunua used control box za prado zaidi ya 10!!! nenda na control box yako ina namba zake wana-match....im talking from experience,nenda ilala hutakosa.....otherwise nenda TOYOTA TANZANIA pale sokoine near nbc makao makuu
Ilala ni kubwa unaongelea Ilala ipi au Shaurimoyo?
opposite na machinga complex mitaa ile yote....ukitokea junction ya kawawa/uhuru kama inaelekea mataa ya chang'ombe unakata kushoto maduka ya eneo hilo na mitaa ya ndani.
Mkuu hizo control box zinatengenezeka kwa bei ndogo sana kuliko kununua mpya, nenda Shaurimoyo kama unataka kuelekea zilipo ofisi za mabasi ya Rahaleo mtaa wa kwanza kulia unatembea kama hatua ishirini mkono wa kulia uliza hapo mafundi wa control box utawapata, ni walemavu wa miguu hawabahatishi kazi zao kabisa