Contractors Reg.Board,EQRB hii ni nini?

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,951
Hapa ni mbele ya ofisi za bodi ya wakandarasi na wakati wote maengineer wanapita ili waingie ofisini.Lakini miaka yooote pako hivi.Ni mtaa maarufu Sana ambao unakutana na samora avenue,garden kuna maofisi makubwa lakini Hali ni hii mvua ikinyesha.
 
Ukitajwa nchi maskini unafikiri wanamaanisha huna fedha tu!! Wanamaanisha na kichwa pia ni maskini.
Duh,ina maana na wewe naye umo au ni sisi tu wewe umesalimika..?
 
Kandarasi anashuka kwenye gari anakanyaga maji machafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…