thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Salaam wakuu,
Naombeni kuuliza hiv kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo nikimaanisha mwaka wa 2 na 3 majina yao ya mkopo huwa yanatoka kwa batch pia?? Yan kwamba unaweza kuwa continuos student lkn jina lako lisije kwenye batch ya kwanza likaja kwenye batch zinazofuata
Naombeni kujulishwa