moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Habari Wana Jamvi..
Uzi huu ni mahususi Kwa waombaji walioomba mkopo Toka bodi ya MIKOPO Kama Wanachuo wanaoendelea..
Bodi ya mikopo imetangaza batch kama Tatu na zote zilikua za waombaji freshers (wale kutoka form 6)lakini kwa tunaoendelea kumekua na sintofahamu ya lini batch yetu itatoka.
Tuna Pata wakat mgumu Sana kujua kama tufanye appeal (kukata rufaa) na Hawa freshers??
Tutakataje rufaa wakati hatujajibiwa!!.. Mawaziri wetu wa MIKOPO toka vyuoni wamekua kimya, loans officers pia na hata mhe Badru toka HESLB nae hajasema chochote kuhusu sisi tuliyoomba kama continuos wenye vigezo vya kupata mkopo ..
Labda tubadilishane mawazo hapa tujue nini kinaendelea kwenye hili suala au tumekosa wote mkopo continuous wote nnchi nzima??
Naomba kuwasilisha...