LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,389
- 6,539
kuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??Alikengeuka imani mapema sana na kuolewa kinyume cha imani, yaani na asiye na imani sawa na yake
kwa faida ya wengine, naomba kuelezwa sababu ya kifo chake, na kuna mwingine hapo juu amesema mwalimu mwakasege alifanya kazi ya ziada kuurudisha mwili wake.
kuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??
inawezekana mkifanya kumbukumbu hyo Mungu akambadilisha huko alipo akarudi katika njia iliyo safi
From Sir With Love shukrani zikufikie.Inasemekana alikuwa na kisukari na yeye alikuwa hana habari. Alizidiwa akiwa kwenye huduma Israel. Kazi ya ziada aliyoifanya naamini ni kusimamia show nzima mpaka mwili ukaja huku bongo.
Nilikujibu tu swali lako kulingana na ile post but mimi sio muumini wa ibada za kumbukumbu ya mtu aliyeitwa na muumba wakekuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??
inawezekana mkifanya kumbukumbu hyo Mungu akambadilisha huko alipo akarudi katika njia iliyo safi
Dyudyu ndugu yanguAlikengeuka imani mapema sana na kuolewa kinyume cha imani, yaani na asiye na imani sawa na yake