bure amaAchana na hicho king'amuzi cha kiCCM, hao ni wakwepaji kodi wakubwa na wameshafilika kwa sasa.
Kwa sasa hakuna King'amuzi chenye local channel za bure bure, lazima ulipie(uibiwe!). Startimes wao television ya bure ni TBC1 na huko utaonyeshwa hotuba za Bashite na Sizonje pamoja na ngonjera za CCM.
Nenda na Azam Tv.
Ndio king'amuzi standard kwa sasa hapa Tanzania.
Hakijafungiwa mkuu?mimi ninakitumia cjawahi kukilipia toka nimekinunua mwaka wa 2 sasa nacheki free
Zipo local channels pamoja na TBCWandugu,
Nauliza kama hawa jamaa wana local channel za bure bila kulipia
Je zinabaki ngapi kifurushi kikiisha?
Moshi kingamuzi chao cha antenna kinakamata vizuri?
Ni hayo tu