MNDEE, Jaribu kumtafuta mtu anayeitwa Omari Ngaromba,Ni CEO wa NGO inayojulikana kama Guluka Kwalala Youth Environment Group Organization,pamoja na shughuli nyingine NGO hiyo imejisajili kwa ajili ya kutoa Elimu na kuinua hali ya maisha ya wananchi katika tarafa ya Ukonga,Shule anayosoma mwanafunzi Mussa Mohamed (Gongo la Mboto Sec.School) ipo katika Tarafa hiyo.
Contact za Ndg Omari Ngaromba ni:
Tels: 22 28 42 824
Mobile: 755 8494/786 063904
Email:
glkenv@yahoo.com
Au tembelea
www.guluka.org