Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,130
- 4,391
Children sio Sawa na kids.
Kids ni watoto wa Mbuzi.
Children watoto wa Bin adam.
Children of Israel sio Sawa na Kids of Africa.
Standard.
Priest ikiwa na maana ya Mchunga Ng'ombe jiulize wewe ni Ng'ombe ?
Kuna haja ya kurudi kuangalia maneno yote yanayotumika Yana maana gani katika asili yake.