viwanda vyetu mbona vilishakufa muda tu?
Nimesahau. Sidhani kama gharama ya hii ni 31 billion! Nadhani ni 3.1 billion. 31 billion ni hela nyingi sana hata Tanzania kwa uchumi wake ulivyo haiwezi ku 'absorb'
Yaani bora wangekuja jenga viwanda. Kuliko kutaka kutufanya watanzania retailers