Construction of $31.8b Tanzania China Logistics Centre to start soon

Construction of $31.8b Tanzania China Logistics Centre to start soon

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
6,130
Reaction score
1,355
Construction of $31.8b Tanzania China Logistics Centre to start soon

Modern warehouse with pallet rack storage system: construction of a logistics center in Tanzania will help distribute Chinese products in the regional market

Construction of $31.8b Tanzania China Logistics Centre in Kurasini is on the offing following the release of $0.6b to compensate residents where the project will be based. Speaking to journalists, Dr Abdallah Kigoda, the Minister for Industry and Trade said that the Export Processing Zones Authority (EPZA) has already received the money for the compensation.

He said that the development was critical in relation to construction of $0.6b Tanzania China Logistics Centre in the country. Implementation of the Logistics Centre in East and Central Africa project is expected to involve construction of modern trade hub on a 60.4 ha of land in the city. The land will also extend to the Shimo la Udongo, Mivinjeni and Kiungani areas.

Kigoda said the construction project will be implemented in two phases. The first phase will involve construction of the hub to ve used in distributing high quality Chinese products in the East and Central Africa markets while construction of industries that will help add value to agricultural and raw materials is expected in the second phase of development.

Public Private Partnership (PPP) modal are expected, along the China government, to take over running of the center once it is constructed. Yiwu Pan-Africa International Investment Corporation and the EPZA represent China and Tanzania respectively in the PPP.

Construction of the $0.6b China Logistics Centre in Kurasini, Tanzania follows an expression of interest by China to set up trade hubs in four countries in Africa. This happened in Cairo in a Sino-Africa Cooperation Meeting. Thus, Tanzania is one of the four countries.

Further proceeds that allow the construction of the $0.6b China Logistics Centre in Kurasini, Tanzania includes the host government's commitment to compensate Kurasini dwellers a total of $27.9m in two phases in the last financial year.

In addition to helping the government realize more taxes, construction of the China Logistics Center in Tanzania will help create 25,000 direct employments and 100,000 indirect employments.

Source: veooz

http://www.veooz.com/news/FHRhwjR.html
 
Safi sana wafanyabiashara WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI hawatakuwa na haja ya kwenda China Kufuata bidhaa nyingi China sababu zitauzwa DAR.
Cha kufanya watanzania ni:

1.Wawekezaji wa mahoteli wajikite kujenga mahoteli ya bei za kati kwa wingi eneo la keko na temeke maeneo ambayo yako jirani na kituo hicho kikubwa cha kimataifa cha kibiashara kwa ajili ya wafanyabiashara wa nchi mbali mbali wa ndani na nje kufikia Kufikia jirani na kituo hicho cha kibiashara.Hoteli hizo ziwe zile za kawaida zile za nyota moja hadi tatu sio zile za kitalii.

2.Mabenki na maduka ya kubadilisha fedha yawahi kushika nafasi maeneo ya keko na temeke na yaanze kuweka matawi yao kwa ajili ya kuhudumia umati wa wafanyabiashara

3.NHC waanze ujenzi wa nyumba za apartments kwa ajili ya kupangisha wafanyakazi wengi watakaokuwa wanafanya kazi kwenye hiyo trade centre bila shaka wengi hawatapenda kukaa mbali na kituo cha kazi.Wajenge maeneo ya keko au temeke

4.Kuna fursa nyingi kama supermarkets,parking areas,etc ambazo zitahitajika .Kwa ufupi temeke yaweza badilika kuwa new central business area kubwa kuliko hata city centre au kariakoo Wafanyabiashara wahini kununua maeneo maeneo kama kwa aziz ali,temeke ,Changombe,keko n.k kutakuwa na fursa kibao za biashara kuzunguka hicho kituo.
 
Namwomba Mungu visiishie kwenye madaftari, pamoja na ile bandari ya bagamoyo. Nitamshukuru Mungu kama nikiona kabla ya Rais ajaye tumeshaanza kujenga.
 
Lakini kwa nini kila kitu kijengwe Dar tu? Hivi Kigoda ameshindwa kufikiria eneo zuri zaidi? Hata hivyo namsifu kwa 'kunyakua' fursa hii. Nilikuwa sim 'regard' kutokana na maskendo yake yasiyofanana na udaktari, lakini sasa nimegeuza nadharia kutokana na hili. Bila shaka ana hoja, na mantiki ya negotiation. Kigoda for President!
 
Nimesahau. Sidhani kama gharama ya hii ni 31 billion! Nadhani ni 3.1 billion. 31 billion ni hela nyingi sana hata Tanzania kwa uchumi wake ulivyo haiwezi ku 'absorb'
 
Nimesahau. Sidhani kama gharama ya hii ni 31 billion! Nadhani ni 3.1 billion. 31 billion ni hela nyingi sana hata Tanzania kwa uchumi wake ulivyo haiwezi ku 'absorb'
hata mimi nilitaka kushangaa.
 
$31 billion is Tanzanias current GDP, this project won't happen, atleast not at this scale.
We have a habit of inflating costs and no. of jobs created to give news a positive spin.
 
i doubt the project will go to the second phase!!!! wakishajenga godown la kuhifadhi bidhaa nadhan litapanuliwa hilo tu sidhan kama kuna political will ya kujenga kiwanda, hakuna nchi kubwa yoyote inayotaka kukujengea viwanda ili ipunguze uteja wenu!!!
 
Na kule Bagamoyo ile project inasemekana itaanza November..!! Tanzania oyeee..!!!
 
Hiki ni Kichekesho hii tunaita Wharehouse huku US sasa uwekezaji wa Warehouse ya kuuza vitu kutoka China inasaidia vipi uchumi wetu?. Vilevile vitu vya high quality kutoka China ni vipi?
 
Kiwanda Kimoja Cha Baharesa ni bora kuliko hii Wharehouse kwasababu ni ya kuuza vitu tu.
 
Hiki ni Kichekesho hii tunaita Wharehouse huku US sasa uwekezaji wa Warehouse ya kuuza vitu kutoka China inasaidia vipi uchumi wetu?. Vilevile vitu vya high quality kutoka China ni vipi?

I think wanataka kuifanya TZ iwe distribution center kwa nchi za sub Saharan...not a bad thing,people will make millions like Dubai they don't make or produce anything lakini kila mtu anaenda shopping kule.
 
Huyo ndio mchina bana...si makelele tu...Chinese this Chinese that...akishikiliwa vizuri tunatoka...achana na hawa kina mr good governance....good governance yenyewe hatuioni miaka zaidi ya 20 toka waanze preaching...
 
Urafiki Wa China Ni Urafiki Wa Sungura Na Fisi. Mchina Siku Zote Anaangalia Maslahi Yake Kwanza.
 
I think wanataka kuifanya TZ iwe distribution center kwa nchi za sub Saharan...not a bad thing,people will make millions like Dubai they don't make or produce anything lakini kila mtu anaenda shopping kule.

Dubai haipati faida yeyote kwenye shopping hizo wana madeni makubwa sana na wanalipa na pesa za mafuta na gas hivyo tusijidanganye na dubai haijengwi kwa pesa za wharehouse ! wanakuja kuua viwanda tu kwasababu hawatalipa tax mpaka watu wanunue vitu. Tanzania inataka Technologia ya mashine na viwanda vidogo vidogo sio wharehouse
 
Hiki ni Kichekesho hii tunaita Wharehouse huku US sasa uwekezaji wa Warehouse ya kuuza vitu kutoka China inasaidia vipi uchumi wetu?. Vilevile vitu vya high quality kutoka China ni vipi?
Habari mkongwe mwenzangu (the original JF class of 2006).
Hii ndio Tanzania yetu. Viongozi wetu wameacha hata kutumia ma.ta.ko kufikiria wao hutumia mi..nanihii kabisa. (ashakum ila ni deterioration ya JF imenishusha nidhamu na mimi through the years)
Mimi nina business partner mchina huu ni mwaka wa 2 tunaenda. Tulianza vizuri kwa ku export basic raw materials huko China. Mpaka leo hii kila nikijaribu kumshauri tufungue a processing plant ya kuongeza thamani ya product zetu jamaa anapiga chenga mbaya na visingizio vingi. Gharama za umeme, wizi wa wabongo (sijui anaona mimi mkenya) nakadhalika.
Jamaa keshajaribu kuniambia tulete bidhaa toka China kuna faida ila roho yangu imegoma aisee. Hivi juzi kati alikuja na dili ya kuleta samaki toka China tuuze hapa bongo. Ni biashara kubwa sana by the way na ina faida nzuri. Pamoja na relative umaskini nilionao ukiringanisha na hao viongozi mafisadi nimemgomea kiujanja hio idea. Roho na akili vinakataa!!

Sasa ndugu, nabaki na shangaa sana kuwa kama mimi mfanyabiashara na raia wa kawaida mwenye uchu wa hela ninaona futility ya undiscriminatory importation ya bidhaa za China hapa nchini inakueje viongozi wasomi tuliowapa dhamana ya kutukomboa katika huu umaskini hawaoni hilo?
Leo hii toothpick, toilet paper ni za china wakati mbao ni za Tanzania! Na kuna watu wanafurahia na kupiga makofi kabisa.

Kuwa Mtanzania chini ya CCM ni changamotto sana!
 
Back
Top Bottom