Consider your past

hivi eti ni kweli we only love once? Hizo zingine zinakuwa just a shadow to that one true love enounter you had?
Mi siwezi kuamini hivo. Itakua too sad kama ni kweli.
 
ushaanza chemsha bongo zako hapa, sijibugi hoja za watu waliojipanga kama wewe! Haya mtafute Kurwa ukalale, mi namnong'oneza Michelle we sijui umetokea wapi ndio maana hunenepi.
Hahahaha. . . . Ndio tunafanyiana hivyo siku hizi ehhh? Haya bana, ngoja siku uombe ushauri kama ntakupa.

Alafu we unataka ninenepe nikose mupenzi?
 
hivi eti ni kweli we only love once? Hizo zingine zinakuwa just a shadow to that one true love enounter you had?

Kwakweli hapa panaweza kuwa na ukweli mkubwa japo nayo sio mara zote,
last wk jamaa angu ameniambia anamuoa gal wake wa chuo enzi hzo walianza toka junior level, cha ajabu alitamka maneno kama hayo uliyoyasema!
 
hivi eti ni kweli we only love once? Hizo zingine zinakuwa just a shadow to that one true love enounter you had?

Very true and the only truth! Baada ya hapo ni kulazimisha faraja tu na kukamilisha ratiba. Hakunaga bwana kama yule wa kwanzaga!
 
hivi eti ni kweli we only love once? Hizo zingine zinakuwa just a shadow to that one true love enounter you had?

There is some truth in it...the thing is you do not know if you have met that one person you truly love already....

So keep loving until the last day of your life....Love is the greatest of all...!!
 
Very true and the only truth! Baada ya hapo ni kulazimisha faraja tu na kukamilisha ratiba. Hakunaga bwana kama yule wa kwanzaga!
Hata kama ni kweli, huyo mhusika sio lazima awe wa kwanza.
 
Hahahaha. . . . Ndio tunafanyiana hivyo siku hizi ehhh? Haya bana, ngoja siku uombe ushauri kama ntakupa.

Alafu we unataka ninenepe nikose mupenzi?

Uh hamna jamani mi na wewe tena....
Ila uliniweka kwenye kikaango mwenzio na maswali yako ya mzingo lol!
Naweza weka list hapa ya watakaokosa wapenzi hapa jamvini ila hakika jina lako halitotokea...
Kuna watu wapo tayari kukubeba hata uweje hahahahahaha
 
kuna ka ukweli hapo
wengine utakuwa unacompare
anayekaribia au kukumbusha wa ukweli
unamnyakua huyo
na unampenda sababu anakaribiana na fulani

Lakini huyo FULANI atakuwa FULANI kila siku.

hivi eti ni kweli we only love once? Hizo zingine zinakuwa just a shadow to that one true love enounter you had?
 
There is some truth in it...the thing is you do not know if you have met that one person you truly love already.......!!

Till you lose, then came to realise you were busy collecting stones while the diamond have gone already!
 
Ndio, sio lazima awe wa kwanza.

Hiyo ya kusema wa kwanza hasauliki, mie huwa naipinga.
Ila najua kuna mmoja ina alife time hasahauliki.
Ndo maana ni mbaya sana kuiba umeolewa/oa
unaweza kutana na huyo fulani ukafanya maamuzi ya kib.w.e.g.e.

Hata kama ni kweli, huyo mhusika sio lazima awe wa kwanza.
 
Kwahiyo umenibania jibu? I'm curious, niambie bana. Hata pembeni ikibidi.

Hahahahaha. . . acha weee!!
Hao kwasababu tunamalizana kiJF JF. . . huku uraiani vigezo viko juu sana.
 
Ndio, sio lazima awe wa kwanza.

Hiyo ya kusema wa kwanza hasauliki, mie huwa naipinga.
Ila najua kuna mmoja ina alife time hasahauliki.
Ndo maana ni mbaya sana kuiba umeolewa/oa
unaweza kutana na huyo fulani ukafanya maamuzi ya kib.w.e.g.e.

Hiyo wanasemaga tu kujipa moyo, nao waone wanakumbukwa sehemu.

Hehehehe. . . kuiba kubaya aisee, kama ambavyo kuoa/olewa alimradi ilivyo. Mwisho mtu anabaki kujuta tu na kuulizana "ulikuwa wapi siku zote?".
 
hakuna kitu kibaya kama
to fall in love
with the right person
at the wrong time
at the right place

hapo ushaolewa/oa
muda hauruhusu tena
panakuwaga patamu sana hapa

Hiyo wanasemaga tu kujipa moyo, nao waone wanakumbukwa sehemu.

Hehehehe. . . kuiba kubaya aisee, kama ambavyo kuoa/olewa alimradi ilivyo. Mwisho mtu anabaki kujuta tu na kuulizana "ulikuwa wapi siku zote?".
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…