Connects dots hapa

Connects dots hapa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,162
Reaction score
162,590
Miongoni mwa wanasiasa ambao member mwenzetu hapa JF(mwanahabari) amekuwa akiwaunga mkono na kuwatetea ni bwana EL na ZZK.

ZZK alikuwa na misukosuko ndani ya chama na baada ya kuondoks ghafla katua TAC na kupewa uongozi wa juu wa chama.

EL nae kuteuliwa kugombea uraisi kupitia chama chake maswali ni mengi kuliko majibu.

ZZK kukubaliana na maamuzi ya pilato bila hata kuangaika kukata rufaa.

Wito wa ZZK kwa EL kujiunga TAC(inawezekana lengo ni kutishia nyau).

EL kuahidi kumuachia cheo cha kiongozi mkuu wa chama atakaeteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake

TAC ni chama kichanga lakini kinaonekana kuwa na hela ya kutosha kumudu kufanya mikutano maeneo mbali mbali nchini na hata kugharamia air-time kwenye media.

NB:Refer yale ya makada wengine wa chama cha magamba na iliyokuwa JCC(inagalie TAC ya leo kwa jicho la JCC ya wakati ule-zingatia, wanasiasa ni wale wale na tabia zao ni zile zile)

Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika.

Tuendelee kudadavua!
 
muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.
 
Ongezea na hii:
EL akibaki CCM ni shida tupu NA akienda ACT ni shida zaidi. Sawa na uchimumumunye,uchimeje wala uchiteme. Nani anakamatwa red handed katika hili akiwa kashusha surubale?
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Nadhani amefanya kwa makusudi ili akwepe accountability & responsibility kwa kutotaja moja kwa moja ACT badala yake iwe TAC
 
Mkuu kila siku unakuja na ngonjera mpya kuhusu ACT Makamanda wenzako walisema ZZK Nje ya Chadema ni kama mamba nje ya maji sasa hadithi tena zimebadilika
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Ameweka angalizo hapo mwishoni mkuu.
 
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.

Miongoni mwa wanasiasa ambao member mwenzetu hapa JF(mwanahabari) amekuwa akiwaunga mkono na kuwatetea ni bwana EL na ZZK.

ZZK alikuwa na misukosuko ndani ya chama na baada ya kuondoks ghafla katua TAC na kupewa uongozi wa juu wa chama.

EL nae kuteuliwa kugombea uraisi kupitia chama chake maswali ni mengi kuliko majibu.

ZZK kukubaliana na maamuzi ya pilato bila hata kuangaika kukata rufaa.

Wito wa ZZK kwa EL kujiunga TAC(inawezekana lengo ni kutishia nyau).

EL kuahidi kumuachia cheo cha kiongozi mkuu wa chama atakaeteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake

TAC ni chama kichanga lakini kinaonekana kuwa na hela ya kutosha kumudu kufanya mikutano maeneo mbali mbali nchini na hata kugharamia air-time kwenye media.

NB:Refer yale ya makada wengine wa chama cha magamba na iliyokuwa JCC(inagalie TAC ya leo kwa jicho la JCC ya wakati ule-zingatia, wanasiasa ni wale wale na tabia zao ni zile zile)

Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bulying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika.

Tuendelee kudadavua!
 
Huyo el ananuka na ni la kuvunda
 
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.
Sasa ni ACT vs CCM!
 
Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Kwa mtazamo wangu,sidhani kama ACT wana imani yoyote kuwa watashinda katika nafasi ya uraisi bali wanasubiri jambo hili la kikatiba litokee ili nao wapate pakutokea.

Iwapo kuna mabadiliko ya kikatiba yatafanywa kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu na mojawapo ya mabadiliko hayo ni kuweka kipengele katika Katiba cha kutaka mgombea uraisi lazima ashinde kwa zaidi ya asilimia hamsini,basi ACT watakuwa wamepata nguvu au sababu ya ziada ya kusimamisha mgombea uraisi.

Sababu ni kuwa,katika uchaguzi mkuu ujao, tunatarajia kuwa na mgombea wa CCM na mgombea wa UKAWA kwa nafasi ya uraisi.Bila shaka ushindani katika nafasi hiyo itakuwa ni kati ya mgombea wa CCM na wa UKAWA hata kama ACT watasimamisha mgombea wao.

Kinachowezekana na ambacho pengine ACT ndio wanachoomba au kusubiri kitokee ni kushindwa kupatikana kwa mshindi wa moja kwa moja(ataepata zaidi ya asilimia 50) na hivyo kulazimisha uchaguzi huo kurudiwa katika duru ya pili ili kupata mgombea ataeweza kupata hiyo asilimia zaidi ya 50 inayotakiwa ya kura zote zilizopigwa.

Hali hiyo ikitokea,ACT sasa ndio watataka kucheza karata yao kwa kuamua wamuunge mkono mgombea yupi(kwa kumpigia campaign katika duru hiyo ya pili) na pengine watatoa mashariti fulani kabla ya kuunga mkono upande wowote.

Wanaweza kutoa mashariti kama ya kutaka kupewa nafasi ya uongozi wa kambi rasimi ya upinzani bungeni n.k kutegemeana na matokeo ya uchaguzi yatakavyokuwa.

Naandika haya nikiamini kabisa kuwa mgombea wa ACT-kama atakuwepo-hataweza kuwa mshindi wa kwanza wala wa pili bali atakuwa ni mshindi wa tatu nyuma ya mshindi wa CCM na UKAWA lakini mwenye uwezo wa kusaidia kupatika mshindi mmoja anaetakiwa kupata hiyo asilimia zaidi ya hamsini itakayotakiwa Katika duru ya pili ya uchaguzi ambayo wao(ACT) hawatashiriki ila wanaweza tu kumpigia debe mgombea watakaemtaka.

Hata hivyo,hili likitokea bado itakuwa ni vigumu sana kwa ACT kuipigia debe CCM kwani hata wananchi hawatawaelewa na zaidi itabidi waungane na upinzani(UKAWA) ili kuonyesha umma kuwa nao pia ni wapinzani na adui yao mkubwa ni CCM na hapa ndio CCM watakapokuja kujuta kuipigia debe ACT.

In short,itakuwa imekula kwa ma-CCM.

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe

Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.

Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.

Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.

2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.

3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.

Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.

4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.

Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.

Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.

Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.

Yangu ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni ACT vs CCM!
salary soma ujumbe murua huo hapo kutoka kwa mtamile. bila shaka unakumbushwa jinsi makamanda walivyokushughuikia baada ya kuja na ujumbe huo. hiyo ndo chadema.

Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe
 
Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe
Read between lines.

Tena Lowassa akihamia ATC mchuano utakuwa mkali na mgombea mmoja kupata zaidi ya asilimia 50 katika duru ya kwanza itakuwa ngumu sana.

Tafakari acha kukurupuka!
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Kafanya kusudi. Si umeona alivyomalizia, anaogopa muswada wa cyber crime ukiwa sheria.
 
Back
Top Bottom