Hivi kuna simu zilizotengenezwa maalum kwa ajili ya kukopesha?
Mimi ninachoelewa ni kuwa ni simu za kawaida ni juu yako kuuza cash au kukopesha. Kinachohitajika ni program ya kuzidhibiti ili mkopaji akizingua marejesho simu isifanye kazi mkose wote. Vinginevyo ni simu za kawaida tu unajumua unaweka bei ya cash na bei ya mkopo basi.
Hata hao wanaokopesha ukitaka kununua cash wanakuuzia.