Connection ya simu za mkopo

Connection ya simu za mkopo

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,047
Reaction score
3,407
Habari wakuu,

Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo.

Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa.

Mwenye connection anijuze wakuu
 
Hivi kuna simu zilizotengenezwa maalum kwa ajili ya kukopesha?
Mimi ninachoelewa ni kuwa ni simu za kawaida ni juu yako kuuza cash au kukopesha. Kinachohitajika ni program ya kuzidhibiti ili mkopaji akizingua marejesho simu isifanye kazi mkose wote. Vinginevyo ni simu za kawaida tu unajumua unaweka bei ya cash na bei ya mkopo basi.
Hata hao wanaokopesha ukitaka kununua cash wanakuuzia.
 
Zipo Ambazo ziko kwenye system ya mkopo
 
Wanatumia system za MDM Mobile Device Management ambayo inafanana na system za kumanage simu za kampuni kama system hiyo ipo installed kwenye simu unaweza kuzuia matumizi fulani kutoka mbali, so unaweza ukatafuta system kama hiyo kama unataka kufanya kila kitu mwenyewe au utafute kampuni ambazo zinafanya shughili hiyo na watakula % tatizo hapo wengi wanataka kufanya kazi na retailer wakubwa au kampuni za simu Retailers - PayJoy Lengine lakuzingatia ni kutoa mikopo kunaweza kukawa na sheria zengine.
 
Back
Top Bottom