Connection problem or invalid MMI code!

Connection problem or invalid MMI code!

stewart2

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
30
Reaction score
4
Ndugu wanaJF, natumia simu aina ya Sky Vega inanitesa kwa tatzo la kuniandikia Connection problem or Invalid MMI code kila ninapotaka kuangalia au kuweka salio. Nimejaribu trick ya kutumia "," na "+" lakini sikufanikiwa. Naomben msaada wenu tafadhali, Thanks in Advance
 
Jaribu ku-GOOGLE mkuu,,,mbona solution zipo nying.
 
Duuuuh, mkuu! Aisee karibia server zote za google dunian hazijanipatia jibu lililosolve tatzo hilo!

Umejaribu laini tofauti? Linaweza kuwa tatizo la network. Vinginevyo restart simu ujaribu tena.
 
Back
Top Bottom