Connection na ajira

Connection na ajira

Mkuu nje ya mada, zile pikipiki zetu za umeme tuachane nazo kwanza. Maintenance cost ni kubwa ingawa mafuta hutumii. Umeme mwingi na spares bei ghali sana hasa lile betri.
Hizo piki piki kwa sasa bei yake ikoje mkuu?
 
Lazima na wewe una connection nzuri, followers na unaowa follow wazuri na wa kutosha na uzoefu mkubwa huko LinkedIn

Ukikutana na connection waweza kuconnect wengine pia
Na mimi ambaye sina connections ninafanyaje kupata connections hapa mjini?
 
Mimi huwa naamini mtu anachosema ndio cha ukweli
Ila hiyo taxbubu yako isajili sasa..... Au unalipia shilingi 54 na senti 8 kila siku kama mimi?????
Siwezi kukudanganya my wangu. Ninaendesha CHASER AVANTE GX-100 tatizo engine ndio kubwa inakula sana mafuta ndio maana sipati faida.
 
Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania.

1. Connection ni nini?

2. Connection zinapatikana wapi?

3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili connection?

4. Share na sisi moja ya connection uliyowai kuishuhudia ama uliyowai kunufaika nao kwa ujumla katika swala la ajira. Na ni kwanini watu wengi tunaoitaji ajira tunajikuta tunaamini sana katika connection kuliko kupambana binafsi?

Zungusha bahasha ya ajira ndio utajua coneksheni ni nini
 
Back
Top Bottom