Connecting the dots - ICC co-arbitrators who gave the Dowans ruling | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Connecting the dots - ICC co-arbitrators who gave the Dowans ruling

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Susuviri, Dec 29, 2010.

 1. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Naomba kuwasilisha kwanza article hii:
  Mi nimefanya research ndogo ili watanzania tupate kujua hawa watu wawili waliofanya maamuzi haya ni akina nani.
  tuanze na Sir Jonathan Parker, anaonekana ni mtu mwenye heshima yake huko UK

  Bofya hapa kwa habari na picha yake


  Ila huyu mwingine ndo nimeona kama iko more interesting: Swithin Munyantwali yeye kwa taarifa ya wote yuko based in .... UGANDA

  Hii nimethibitisha kupitia Linkedin

  Bofya hapa kuona hii link

  Na ili kupata kujua zaidi kuhusu taasisi ya Bwana Munyantwali tembelea tovuti yao
  ILI-ACLE

  Naomba niweke hapa kidogo maelezo kuhusu taasisi hii ambayo imezaliwa na iko chini ya sheria za Uganda
  Kwa leo naomba niwasilishe hapa wakati ninaendelea kukusanya data. Nawakaribisha wale wote wenye data kamili kuhusu wahusika hao na kazi zao waziwasilishe katika thread hii ili tuweze kuelewa ni akina wamefanya maamuzi mazito yatakayogharimu nchi yetu mabilioni.

  Kwa leo ni hayo tu.
   
 2. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,239
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Hii ni hatua nzuri ilikuweza kujua connection kamili ya hii dili.
  How about the Chairman of the Counsel during the case.Mr.Aksen!
   
 3. k

  kaiyurankuba Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If we define the dots to mean "any proof of connection existing between the arbitrators and either of the parties to the dispute leading to a conclusion of impartiality on the part of arbitrators." so the logical conclusion here would be to show that the ICC award was gainst TANESCO because the arbitration panel were biased because huko nyuma walikuwa na mahusiano na Dowans. If this can not be proved, there there are no dots to connect....or disconnect!
   
 4. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,239
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Here is probaly another dot.

  Its not clear on the document revealed, but i think he is the Chairman of the Counsel during the Tanesco Vs DTL.Any one with more details!
  And if you look and read POA btwn Tanesco and Richmond section 14,c,(i&ii) this can be arguable in the court as originaly Richmond is from USA.
  Gerald N Asken

  PROFILE INFORMATION FOR GERALD N ASKEN


  Gerald N Asken
  New York, NY

   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo ila tutafika
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Kuna siku itafika...ukweli utajulikana...na uzalendo utafuata..kuwajibika kwa serikali nzima!!!!JK jiuzulu....hufai!!
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Namshukuru sana Mwankijiji kwa kuendelea kutuletea data zaidi kuhusu kesi hii. Katika document alizoweka hapa Mwanakijiji kuna kipengele kuhusu wamiliki wa Dowans na inaonekana kuwa wamiliki 100% wa Dowans Tz ltd ni Dowans SA wa Costa Rica. Je mwakilishi wao hapa Tanzania ni nani?
  Hii ni sehemu ya connecting of dots, kwani ni muhimu kujua kama hawa arbitrators kweli walikuja nchini au la? Its all a matter of time...
   
 8. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Uchicheme chana....
   
 9. N

  Nanu JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani tunapoteza muda kuuliza DOWANS kwanini walipwe! If the contract was breached and the aggreaved party felt that it was not lawful and the contract itself provided litigation and arbitration mode, and case was filed as per procedures and the ruling was given based on presented facts, then we don't have to spend a lot of time to urge why the ruling was given in favor of DOWANS. We should have a look back and relook the whole process and identify where we did go wrong and what to be done or put in place to avoid re-occurrance. We should look into the suggestions given of breaching the contract, who given, does s/he has connection with DOWANS? If yes, proper disciplinary action should be taken against the individual, and may be it was already taken (the previous AG, retired) but all in all, facts remain facts, if the contract was breached illegally then aggreaved party had the right to seek legal opinion and has the right to get the right judgement.
  DOWANS didn't breach our procurement procedures, it is us who breached our procurement procedures and if there was any disciplinary to be take it should be against our executives who did not follow the procedures!!! We must learn from mistakes!!!!!
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nimewahi kusema hawa majaji wanahitaji kuchunguzwa. Hasa huyu mganda kwani kama kuna mianya ya rushwa that will put into question the issue of independence of arbitrators na ndio hapo Dowans wanaweza kupigwa chini wasilipwe hayo mabilioni au wakarudisha hela zetu. Nimesikia Rostam amehamishia vitega uchumi Uganda je hakuna mahusiano na huyu jamaa Swithin Munyantwali
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  tatizo ni wawakilishi wetu walikwenda kwa nia ya kushindwa wakiongozwa nai wetu wa kisiasa
   
 12. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  I see basi safari ndefu tunayo!!!
   
 13. c

  chama JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  The Dowans fiasco is not about breaching of contract, the deal here is corruption, I believe our officials were involved in corruptions, but the question is who is beneficiary of these payments? Is it Dowans? or just another transfer of wealths to our dear leaders? Why as of today no actions has been taken by our president to punish those involved? Whenever there is a smoke there is fire behind it.
   
 14. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu cha muhimu kabisa ni kuwa Tanzania ijitoe ICC, kwa kuwa ICC sasa inakuwa ni kinga ya wezi wanaoiibia Tanzania. Ilitakiwa kuwa kimbilio wakati wa dhuluma, lakini inakuwa ndio msumari wa dhuluma wenyewe.

  Tujiulize ni mara ya ngapi Tanzania kufikishwa ICC, na verdict kwenye kesi zetu imekuwaje?

  Verdict ya IPTL ilikuwaje, na je watu walilipwa na ni kina nani walilipwa na ilitugharimu kiasi gani?

  Je, pamoja na karne hii mpya ambapo tuna wanasheria wengi maprofesa, ina maana wote ni vilaza wa sheria? Au uongozi wetu wa kisiasa uliamua kuwa tushindwe kesi hiyo ili, fedha ziende kwa baadhi ya wanasiasa wenzao???

  In this case tunaweza kusema kuwa Dr Slaa anaongopa kuwa JK ndio mmiliki wa Dowans?
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ya Dowans ndio verdict ya kwanza kwa Tanzania kushindwa. Kesi ya IPTL na serikali Tanzania, serikali ilishinda mkuu . Kesi ya Tanzania na wale jamaa wa City water pia serikali yetu imeshinda ila hii ya Dowans ndio bahati mbaya tumeshindwa.
   
Loading...