Connecting dots: Ucheleweshaji wa Fomu ya Maadili wa Makamba na kashfa inayomkabili

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
wadau naona sasa tumeanza kuunganisha dots kwanini makamba alichelewa rudisha fomu ya maadili kumbe anadili haramu nyingi
 
Enheeee ngoja nishike nafasi ya mbele ili nije kusikiliza vizuri narudi sasa hivi
 
Hivi mpaka leo hajarudisha? Magu sinalishatoa deadline, imekuaje tena
 
Huyu dogo na dada yake wamepiga dili nying za hatar.... Nimeshangaa sana utajiri mkubwa walionao.

Duc in Altum
 
Back
Top Bottom