Connectify?????

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau kuuliza si ujinga. ....Hii kitu ni nini haswa??? Maana naona kuna post nyingi humu JF kuhusu hii software but sijapata kujua kwa kina zaidi juu ya matumizi yake. So far niliijaribu but ikaja kwenye masuala ya kuwa na licence na mambo mengine. je licence yake unaipata vipi. Nawasilisha wadau
 
Majibu yote yapo Google

Ukiona google inakushinda nenda youtube (Kama kusoma hujui hata picha?)

hata gundua kumbe we ni bonge la kilaza na ni uzembe tuuu wa kujifunza mwenyewe
 
Unanunua Online via your Credit Card au Paypal. Ok, kwa kifupi ni software ambayo inakusaidia kufanya Multiple Internet Connection kwa kutumia means yoyote ile ulonayo. Be it wifi/3G/4G/Broadband, yoyote ile.

Baada ya kuconnect vyanzo vyote hivyo vya internet, then hii software inazi-combine zote into one Channel Stream na kisha kuzi-aggregate. Speed utakayopata hapo hailezEki kwani huwez ipata kutoka kwa Mmoja.

Last time nili-combine TTCL Broadband/4G SmileComm na 3G Voda nikapata 48Mbps. Nikashusha HD Movie Fast and Furious6 kwa dakika 6 tu.

Pia Connectify inawezesha PC yako kusambaza wifi/HOTSPOT(connectify-me)
Ofisini/nyumban au popote ulipo.
Uzuri wa hii kitu licence yake ni Life time. Na kila waki-upgrade wanakujulisha ili kupata updates.

Sasa hivi wamezindua pia huduma ya "Connectify-SwitchBoard" hii inafanya kazi sawa sawa na VPN.
You can access all you remote files while on Vacation. Or U can also unlock region content locked such as Netflix/Hulu/Pandora/BBC Iplayer and the Famous Online Music Store Spotify.

This Software, "Connectify" siyo ya kuikosa kwEnye Pc yako.
U'll love it.
 

Thanks sana braza.....ndio maana sikutaka kumjibu huyo jamaa hapo juu coz yeye anaamini chanzo cha kupata habari ni google tu. Thanks sqna mkuu
 
Thanks sana braza.....ndio maana sikutaka kumjibu huyo jamaa hapo juu coz yeye anaamini chanzo cha kupata habari ni google tu. Thanks sqna mkuu

duuuuuuuuh!:doh: i see mkuu yaan pamoja na ukongwe wake wote humu jf bt still ajitambui! maana still hajui nn maana haswa au dhumun la jukwaa hili msamehee tuu mkuu na ona hawa ndo walewaleeeeeeee! :focus: HIYO MKUU INATUMIKA KAMA HOTSPOT(WIRELESS) AND KUCONNECT MODERM ZAID YA 1 hivyo ndinyo nlivyojifunza mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…