,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu najaribu kumpongeza tu maana mashabiki uchwara wanabeza tuzo ya mnyama Messi wanasema eti angepewa VVD eti kisa kabeba kakombe kamoja ka UCL wanasahau Ramos kabeba mara tatu mfululizo lkn hajapewa stupidity