Congratulations BO'... Pictures!

Kwa kuangalia tu picha... You feel kama part of it. Kana kwamba ulikuwepo; tunabaki tu na wishes kuwa tungekuwa Wazalendo kama hao watu, ukiangalia couple ya wapinzani baada ya matokeo utadhani sio wale walikua katika a heated debate awali... Really, really impressive!

Hawa watu wana haki ya kujivunia inchi yao aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…