FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Mngebandika pia picha za jinsi supporters wa Mitt Romney walivyo react kwenye "War Room" yake Boston jana usiku baada ya kung'amua kuwa their "Great White Hope" has just been defeated.
Mngeona jnsi ambavyo virtually 100% of the faces in the crowd were White.
By the way, 88% of people who voted for Romney in this election are White.
Nilisha sema nimeota Obama anashinda mpaa Florida, katazameni ile thread ya mtoto wa mjini na ndoto zangu huwa ni za kweli.Nyani Ngabu kavimba mpaka anataka kupasuka hizi picha zinampa shinikizo ladamu....
Mitt Romney baada ya kupiga kampeini kwa zaidi ya miaka sita sasa na kutumia zaid ya Bilioni sita kwa jumla, sasa analzimika akae kimya kabisa. Aache tena kimbelembele cha kukosoa mambo yanayofanywa na mwenzake wakati umma umemkataa.
Nawahurumia watu wengi sana waliochoma pesa zao kumwondoa Obama madarakani: hasa hawa wafuatao
- Donald Trump na upumbavu wake birth certificate na college transcripts.
- Jack Welch na uropokaji wake wa Chicago boys changed the numbers
- Thomas Peterffy na matangazo yake ya kibinafsi yasiokuwa na punje ya ukweli yanayodai slippery slope:
- Wachimba makaa ya mawe wote waliotoa matangazo yao ya Energy voter kwa zaidi ya miaka mitatu, mpkata ikafikia kuwa kero " I am an energy voter..."
- Koch Brothers na matajiri wote wa mafuta huko Texas waliokuwa na matangazo mazito sana dhid ya EPA
- Sheldon Anderson na matajiri wenzake wote wenye Cassinos huko Las Vegas waliokuwa wakimwaga hela dhidi ya Obama kama utitiri.
- Grover Norquist na mikataba yake ya kodi
Nimeona Yahoo news wanamchambua mama Obama eti ooh amerudia nguo mara tatu
wengine wanasema ni vyema mbona sie tunavaa jeans moja miaka mitano mpaka saba..lakini yeye kila anaporudia nguo ..Designer wa nguo anamlipa kila anapoivaa ..Afadhari Hajatumia Tax zetu kununua nguo mpya
wamarekani bwana ..:typing::gossip:
Sidhani kama watakuwa wanamlipa maana inaweza kuzuka scandal. Nasema sidhani kwa sababu sijawahi kuona RAIS akitangaza bidhaa za biashara. Ina maana kwa kuvaa kwake nguo na akalipwa, atakuwa anatangaza biashara za watu na hiyo nafikiri nchi nyingi wanaipiga marufuku.
Ndiyo maana kuna balozi mmoja wa Tanzania alifungua Bar huko Sweden na wakampiga STOP. Wakamwambia au aache Ubalozi awe mfanya biashara au afunge biashara. Nafikiri ukishakuwa na cheo fulani, basi baadhi ya vitu huruhusiwi kufanya. Sasa hebu fikiria kama Obama mwenyewe angelikuwa anashonewa nguo na akina Prado na wanamlipa, si Mafisadi wangelikuwa wanaingia Jumba Jeupe kila siku na masanduku ya Fedha/Nguo....
Nafikiri sanasana anakuwa anashonewa nguo na watu fulani. Ingawa ninavyofahamu, ni kuwa huwa anaingia dukani mwenyewe na kujichaguliwa randomly. Ila tu hapa washauri watakuwa sanasana wanamwambia kwenda kwenye maduka ambayo OWNER ni wananchi wa USA. Ukishaona Mama Obama kavaa nguo yako, sanasana unaweza kwenda kusaidia pesa kwenye foundation yake kama ASANTE.
Papa ninavyofahamu, ana washonaje wake wa nguo na viatu. Kwa miaka mingi sana zimekuwa ni familia fulani tu wanafanya hiyo kazi. Ila mara nyingi wanakuwa wamefungwa kwa mikataba kuwa hawatashonea watu wengine nguo.
teh teh teh ngoja niongeze chai halafu nirudi ooops kumbe karibia muda wa kutoka!Rais wa Tz unaweza kuta ana watoto zaidi ya kumi na wake 6, atatokeaje nao wote kwa pamoja??