Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,467
Ungemtaka radhi tu na nashangaa admn amekuacha hadi saa hii, hebu muandikie na madam faiza tuoneusikurupuke kwa vitu usivyovijua Mkuu. Nani alikudanganya nilichopost kinamaanisha Demiss yuko cheap?
Ungemtaka radhi tu na nashangaa admn amekuacha hadi saa hii, hebu muandikie na madam faiza tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli kuna comment zngine ht kama ulkuwa hutaki kucheka utacheka tu!Alisikika mlevi mmoja akiongea mwenyewe barabarani.....
Huyu dada naambiwa ndo MPOKEAJI MKUBWA HAPO DODOMA... WANA JF WENGI WAKIENDA DOM WANAKIRIMIWA NA DEMISS ANA MOYO WA UKARIMU SANA. binafsi nmeanza kuamini sababu kuna watu kadhaa wamenambia ukienda Dom mtafute tu demiss na namba zake nlipewa.
Aendelee na moyo huo huo wa kukarimu members wa JF. Hakuna kitu kibaya unaenda mkoani unafikia hotel au lodge huna mwenyeji... Unaona kama unapoteza tu pesa kulala pale. Ni bora uwe unalala stand au uwanja wa mpira
ohooooooHii ndio tafasiri sahihi ya kwamba
DEMU AKIWA MRAHISI BASI ATAAMBIWA KILA AINA YA LUGHA RAHISI.
Maneno kama haya, Huwezi kaa umwandikie Faiza Fox..kwann??!!!! .
Kwa sababu kwa kila mmoja alivyojichora ndivo na jamii inavyomchukulia.
Najua unatania..hata mimi nimetania tu.