BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
😳 usikurupuke kwa vitu usivyovijua Mkuu. Nani alikudanganya nilichopost kinamaanisha Demiss yuko cheap?
Hii sasa dharau yani ndo yupo cheap kiwango hichi? Hv na mzigua ,atoto unaweza waandikia hv?
Sent using Jamii Forums mobile app



