English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 368
- 471
Huyu jamaa hana lolote zaidi ya uchumia tumbo tuu ameshakipata alichokuwa anakitafuta kwahiyo tusitarajie makubwa kutoka kwake zaidi ya bla bla za kwenye twitter na Face book Lakini JF hawezi kutia mguu kama wenzake wa CDM
Amekutuma nini? kijana mdogo ana act Uzee mwisho wake 2015 mbona hatuwalaumu wakina Mnyika na Lissu January hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ni mnafikiTry to be fair and allow your judgement to be done by an open mind ....all the time I am failing to know what exactly Tanzanian youth would consider positive from their fellow in the current regime. I am sure most youth are criticizing, condemning, and complaining in a fashion way. They do not know what they want because even when they're given they still claim what they are given is not their demand!
Utaanziwa wapi kumsaidia mtu au kijana wa namna hii asiyejua kuwa anapewa alichohitaji?
Try to be fair and allow your judgement to be done by an open mind ....all the time I am failing to know what exactly Tanzanian youth would consider positive from their fellow in the current regime. I am sure most youth are criticizing, condemning, and complaining in a fashion way. They do not know what they want because even when they're given they still claim what they are given is not their demand!
Utaanziwa wapi kumsaidia mtu au kijana wa namna hii asiyejua kuwa anapewa alichohitaji?
Amekutuma nini? kijana mdogo ana act Uzee mwisho wake 2015 mbona hatuwalaumu wakina Mnyika na Lissu January hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ni mnafiki
wanachohitaji nikuja huku ili kupata chalenji za huku ambako unahojiwa na watu wanaokujua zaidi na kulenga weakness zako tu so mwambie aje huku tuone cheche zake..
atakuwa mwenyewe...wanasiasa bana.....angalia hata watu alio wa tag kwenye thread......Mkuu ndetichia huyu English Learner huenda ndio january mwenyewe anaangalia upepo kama mkuu wake wa kazi anaogopa kuja na ID yake kwasababu kikosi cha kazi kitaivamia hiyo thread mpaka machozi yamtoke
I'm not a messenger of any politician..may be Jesus if He is a Politician.....
Mkuu ndetichia huyu English Learner huenda ndio january mwenyewe anaangalia upepo kama mkuu wake wa kazi anaogopa kuja na ID yake kwasababu kikosi cha kazi kitaivamia hiyo thread mpaka machozi yamtoke
atakuwa mwenyewe...wanasiasa bana.....angalia hata watu alio wa tag kwenye thread......afu wabongo mbona mnapenda kupongezana kwa vitu vya kijinga?
fb kunasifa za watoto wa waasisi wa ufisadi balaaaa,actually mie sijawahi ona hata moja la kumpongeza makanga maana mchango wake kwa taifa sijauona ila kama anawatoa watu kama wewe ni vizuri kumpongeza kwenye jamii ya watu wanaojua mchango wake.personally naona ni upuuzi.haya yangebali huko fb ungepata suport sana.You will obviously agree with me that January is very exceptional in his online engagements. The way he posts, interacts and brings feedback puts him at an edge against the rest. See one of his this morning posts ...the boy is ahead of many others and to me he really deserved the position he got. Keep it high to standards JYM