CONGO: Uchaguzi Mkuu kufanyika 2019

CONGO: Uchaguzi Mkuu kufanyika 2019

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau Tume ya uchaguzi nchini DRC imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika April 2019 na sio mwishoni mwa mwaka huu wa 2017 kama ilivyotarajiwa.

Tume hiyo imedai inahitaji jumla ya siku 504 kwa ajili ya kukamilisha zoezi la usajili wa wapiga kura. Zoezi hilo la usajili wa wapiga kura limeathiriwa na mapigano yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini humo.

Taarifa hizi ni kwa mujibu wa BBC
Karibuni.
 
mh labda Rais ana mpango wa maendeleo sasa hajakamilisha?
 
Wataendelea kupigana milele, hakutakuwa na uchaguzi. Hii mbinu kali sana.
 
Wataendelea kupigana milele, hakutakuwa na uchaguzi. Hii mbinu kali sana.
 
Back
Top Bottom