Interesting article. Kumbe behind all this fracas ni kua kuna kavita baridi kati ya US na France. I wonder sisi tupo upande gani huko DRC au tunaenda tu headlessly. I felt something was off kwasababu sikujua kwanini Mr. Skeleton anaezaje kutunisha misuli nchi kama Tz kumbe sasa hapanshaka huenda yuko kwene speed dial ya Kerry au Obama himself. JK na PK inabidi wajue kua nchi za kibeberu hua hazina marafiki wa kudumu na watambue ndovu wanapopambana ziumiazo ni nyika na hapa ndovu ni France na US.