Congo Rebellion: Clinton Defends Kagame

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Aliyekuwa rais wa marekani Bill Clinton amempongeza rais wa Rwanda Paul Kagame licha ya madai kwamba amekuwa akiunga mkono makundi ya waasi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo yanakiuka haki za kibinadamu.

Bwana Clinton amesema katika mahojiano na BBC kwamba madai hayo ambayo Rwanda inayakataa hayajathibitishwa mahakamani.

Pia alisema kuwa kuna changamoto kubwa katika mpaka wa Rwanda na Congo, kwani una watu chungu nzima ambao walihusika na mauaji ya halaiki miaka ya tisini.

Lakini bwana Clinton amesema kuwa anathamini serikali ya Rwanda kutokana na mafanikio ya kiuchumi yalioafikiwa chini ya rais Kagame.
Kiongozi huyo amekuwa akizuru mataifa ya Afrika pamoja na mwanawe Chelsea ili kujionea miradi ya wakfu wake.

Watu wenye upeo wakuona mbali walitambua hilo,wengine kwasababu ya akili zao fupi wanatokwa povu kisa pk ni mtusi,hata afanye zuri vipi hawalioni.
 
Watu wenye upeo wakuona mbali walitambua hilo,wengine kwasababu ya akili zao fupi wanatokwa povu kisa pk ni mtusi,hata afanye zuri vipi hawalioni.

mkuu nona unahangaika sana na ukabila wako wa tutsi vs. hutu

sijui kama Clinton alizungumzia kabila au head of state in the country named rwanda

acha mbegu ya chuki kwa nduguzo... we treat rwanda kama nchi sio kama kabila au eneo la makabila
 
Kwa mujibu wa tarifa nilizozipata kwenye ukurasa wa facebook ya bbc, wameonesha kuwa rais mstaafu wa USA amempa pongezi kem kem Kagame! Jaman mwenye uwezo wa kutuwekea habari kamili atusaidie kwani natumia Nokia c1,! My take namuunga mkono Clinton
 
Bill Clinton yuko katika ziara ya Afrika kuzuru miradi iliyo chini ya wakfu wa Clinton

Aliyekuwa rais wa marekani Bill Clinton amempongeza rais wa Rwanda Paul Kagame licha ya madai kwamba amekuwa akiunga mkono makundi ya waasi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo yanakiuka haki za kibinadamu.
Bwana Clinton amesema katika mahojiano na BBC kwamba madai hayo ambayo Rwanda inayakataa hayajathibitishwa mahakamani.
Pia alisema kuwa kuna changamoto kubwa katika mpaka wa Rwanda na Congo, kwani una watu chungu nzima ambao walihusika na mauaji ya halaiki miaka ya tisini.
Lakini bwana Clinton amesema kuwa anathamini serikali ya Rwanda kutokana na mafanikio ya kiuchumi yalioafikiwa chini ya rais Kagame.
Kiongozi huyo amekuwa akizuru mataifa ya Afrika pamoja na mwanawe Chelsea ili kujionea miradi ya wakfu wake.
source BBC-swahili
 
du, kwa hiyo baada ya na sisi kudhani hawa (us) ni wenzetu kumbe wanaweza wakala kotekote!
...siombei aje kusema kuwa kuwafukuza 'wahamiaji haramu' ni uvunjaji wa haki za dinadamu pia, ngoja tusubiri.
 
Acha apewe sifa lakini akizidisha makeke atachapwa kwasasa wanajeshi wote wamenyimwa likizo wakiambiwa nchi iko kwenye hali ya hatari
 
Nadhani ni maoni yake. Tena uzuri ka-justify kuimarisha sababu ya kumpongeza. Ndio demokrasia
 
mkuu nona unahangaika sana na ukabila wako wa tutsi vs. hutu

sijui kama Clinton alizungumzia kabila au head of state in the country named rwanda

acha mbegu ya chuki kwa nduguzo... we treat rwanda kama nchi sio kama kabila au eneo la makabila

Wewe subiri kidogo utaona jinsi watakavyo anza kutukana pk na watutsi.
 
wamarekani wanamlia mahesabu tu. tamko lile la serikali ya US juu ya kagame aache kuunga mkono m23 ndiyo msimamo wa wamarekani kupitia serrikali yao.

Nyie kalieni kusema US ilitamka hamjui zivyo chezwa anga za juu,wata msupport mtu anayetunza magaidi na wauza unga amwache swahiba wake pk?
 
inawezekana kabisa anafaidika na rasilimali za damu za drc
 
Maoni ya Clinton ni maoni ya mtu kama wewe. Hata Dr. Slaa alimuunga mkono Kagame kwahiyo sio ajabu mfanyabiashara Clinton kumuunga mkono muuza madini.

By the way, umeshawahi kuona list ya donors wa Clinton Foundation?
 
wamarekani wanamlia mahesabu tu. tamko lile la serikali ya US juu ya kagame aache kuunga mkono m23 ndiyo msimamo wa wamarekani kupitia serrikali yao.

achana na hawa mazuzu wa kinyarwanda wanapenda vya bure sana, ona wanafurahia hata sifa wasizostahili pooor tutsi. zitawatokea puani tu kama mtaendelea kukataa muafaka wa kitaifa kwa kuwakarbisha ndugu zetu wahutu kwa mikono miwili na kusahau yaliyopita
 
Wewe subiri kidogo utaona jinsi watakavyo anza kutukana pk na watutsi.

mtu yeyote mstaarabu hapa jf ni lazima awaambieni ukweli tu jambo ambalo mnaliita matusi! kuambiwa mpatane na ndugu zenu tena waliowakaribisha rwanda kwa huruma yao ndiyo mnaona matusi, ana matusi ya huyo dikteta wenu ndiyo mnaona ustaarabu, rwanda taifa mfu chini ya dikteta kagame.
 
Ngoja wale Tutsi and kagame haters waingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…