Congo- Kinshasa waadhimisha miaka 50 ya Uhuru toka kwa utawala wa Ubelgiji

PatPending

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
491
103
BBC News - DR Congo: Celebrating 50 years of chaos

Congo ni nchi moja ambayo kila nikiifikiria machozi huwa yananitoka. Dhuluma na tamaa katika kila kurasa ya historia yake. Binafsi, naipenda sana Congo kuanzia kwenye mandhari yake murua, mchanganyiko wa watu wake, lugha zake, lafudhi na utamaduni wao.

Ni nini maoni yenu leo hii wenzetu wanaazimisha miaka 50 toka kwenye moto mmoja kwenda mwingine? Sisi wenyewe Tanzania tutaazimisha miaka 50 ya Uhuru mwakani, perhaps its about time we all reflected on this and others that have gone on down the years and possibly still await us.
 
Ni miaka 50 ya masononeko, failed politics, corrupt leadership
 
Mkuu kwa kiswahili fasaha ni "kuadhimisha" na sio "kuazimisha" miaka 50 ya uhuru toka utawala wa Ubelgiji! Humu ndani kuna wakina Smatta na Nomasana utawafundisha kiswahili kibovu!
 
Mkuu kwa kiswahili fasaha ni "kuadhimisha" na sio "kuazimisha" miaka 50 ya uhuru toka utawala wa Ubelgiji! Humu ndani kuna wakina Smatta na Nomasana utawafundisha kiswahili kibovu!

Thank you for being so mindful. LOL!
 
na nchi yenyewe washaporwa wao wamebakia kucheza ndombolo mpaka wanajisahau,wacha kina kagame wawasaidie kuongoza.:biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…