Congo crisis. Imeandikwa na Malisa GJ

Congo crisis. Imeandikwa na Malisa GJ

Mapatano alikuwa anasema mpiganaji mmoja juzi ni kwamba kwa kumuondoa Mobutu Rwanda itapewa North and South Kivu na Uganda itapewa Ituri..
Lakini kama watu wandaiana malipo kama hayo,it is something that can be estimated and calculated.
Nakumbuka wakati ule Tony Blair alipokuwa Waziri Mkuu siku moja ilitangazwa," Leo Uingereza imelipa installment ya mwisho ya deni lake kwa USA kwa msaada iliopata WW2"
Nakumbuka,Belgium ilisamehewa kwani madini yote ya uranium yaliyotumika kutengeneza mabomu ya atomic yalitoka Congo ambalo lilikuwa koloni la Belgium.
 
Asante sn kwa andiko hili. Binafsi sikuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kiini cha mgogoro wa Congo, hadi niliposoma andiko hili
 
Damu inamwagika ili familiya za kagame na mseven ziishi Kama peponi...hao wanajeshi nao NI wajinga wanashindwa kumtwanga kagame warudi kwao Rwanda Kama anawapenda kwa Nini haearudiahi nyumbani Kigali..wanataka Kongo isiyo yao...
Umenena vyema
 
Tanzania ya sasa maslahi yake congo ni MADEREVA w malori tu. Aibu hii kwa TAIFA langu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom