Usipotoshe japo umefanya vizuri kukili kuwa FDRL inapata political support from Tanzania lakini mtoa mada kakuuliza kama wote wanaomsupport Kagame ni wa Tutsi kutoka nje kama usemavyo, JE NYIE MNAO SUPPORT INTERAHAMWE NI KINANANI??.
Hakuiongelea Tanzania, anaongelea individuals mainly you.