mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Ukabila ntaleta miye...midomoni mnajiita wanyarwanda...moyoni mnachukiana mwanzo mwisho....
Basi omba uraia bongo iliwakupe kazi mahamani maana unaonekana unakipaji chakuona mioyo ya watu inasema nini.
Na hilo ndio tusi pekee mlobaki nalo kwa yeyote anayewaambia ukweli...
Nimeshakuwa muhutu...lol
Wewe ni mtutsi au siyo mtutsi...na kama ni kweli mtutsi jiulize nimejuaje...
Najua utayeyusha kwa kukimbilia kuwa wewe ni mnyarwanda ...lakini ukweli unaujua kuwa wewe ni mtutsi...
Ukiweza kuandika in such a way mtu kama mimi au yeyote asijue wewe ni wa kabila gani hapo ndio unaweza pinga kuwa huna ukabila...
Na hilo ndio tusi pekee mlobaki nalo kwa yeyote anayewaambia ukweli...
Nimeshakuwa muhutu...lol
Na sio hivyo tu mkuu, sifa nyingine ni mtutsi aliyekulia nje ya Rwanda na kurudi majuzi baada ya kagame kupindua nchi.
nani kasema wewe mhutu...unless you are one, which is not a problem. the problem is the interahamwe. wanajijua wenyewe hapa. Labda nirudie tena tatizo letu wanyarwanda wote sio wahutu bali ni interahamwe. rwanda asilimia kubwa ya wananchi ni wahutu. walio nje ambao wanaogopa mkono wa sheria kwa sababu zinazojulikana ndio tatizo. Aidha warudi wahukumiwe kama wakipatikana ha hatia na kama hawana hatia basi warudi makwao kama mamilioni wengine walivyofanya. Lakini wale wenye damu mikononi wakija lazima tuwasweke ndani kwanza halafu wakitoka tunawatoa "sumu" ndio waingie uraiani. Kwa hiyo ni wewe kuchagua of the two which one you want to be. Its your choice.
nyumba kubwa umeona hapo kwenye red? eti "wahukumiwe" kwanza halafu ndio ijulikane kama wana hatia au la....hahahaha. Ama kweli watutsi kiboko. Yani kama wewe mhutu uliyekuwa nje, ile kurudi tu kwanza unahukumiwa miaka yako kadhaa for genocide against tutsis no doubt! Halafu ndio kesi inaanza kusikilizwa.
nyumba kubwa umeona hapo kwenye red? eti "wahukumiwe" kwanza halafu ndio ijulikane kama wana hatia au la....hahahaha. Ama kweli watutsi kiboko. Yani kama wewe mhutu uliyekuwa nje, ile kurudi tu kwanza unahukumiwa miaka yako kadhaa for genocide against tutsis no doubt! Halafu ndio kesi inaanza kusikilizwa.
So what!,Tatizo ni kwamba ni mtutsi,au ni kuwa alikulia nje ya Rwanda, so mwenye sifa hizo hana haki.Na sio hivyo tu mkuu, sifa nyingine ni mtutsi aliyekulia nje ya Rwanda na kurudi majuzi baada ya kagame kupindua nchi.
Aidha warudi wahukumiwe kama wakipatikana ha hatia (kipi hakieleweki hapa)nyumba kubwa umeona hapo kwenye red? eti "wahukumiwe" kwanza halafu ndio ijulikane kama wana hatia au la....hahahaha. Ama kweli watutsi kiboko. Yani kama wewe mhutu uliyekuwa nje, ile kurudi tu kwanza unahukumiwa miaka yako kadhaa for genocide against tutsis no doubt! Halafu ndio kesi inaanza kusikilizwa.
Tukisema wewe ni Hutu extremist tuna base kwenye statement kama hizo kweney Red.nyumba kubwa umeona hapo kwenye red? eti "wahukumiwe" kwanza halafu ndio ijulikane kama wana hatia au la....hahahaha. Ama kweli watutsi kiboko. Yani kama wewe mhutu uliyekuwa nje, ile kurudi tu kwanza unahukumiwa miaka yako kadhaa for genocide against tutsis no doubt! Halafu ndio kesi inaanza kusikilizwa.
Tukisema wewe ni Hutu extremist tuna base kwenye statement kama hizo kweney Red.
Fortunately mmeshindwa in all means, hata wale mliokuwa mnategemea msaada kutoka kwao, they are no longer interested in you.
Hata msaada ambao mngepata au mnaopatiwa is not enough to destabilize Rwanda,nadhani kwani hili ukiuliza wazazi wako watakueleza manake i believe this hate comes from your parents.
Wahutu wenzako wako Rwanda wanajenga nchi yao, wewe uko ukimbizini chuki zako unazimalizia kwenye keyboard,pole sana!
Nime mchallenge mwenzako aonyeshe ni wapi nimetoa statements za kukejeli kabila lingine au kuonyesha any signs of hate, ameshindwa only to ask me if i am a Tutsi or Hutu, hivi nikisema i am Tutsi ina maana mimi ni mkabila?Nikisema mimi Mhaya,Mha au Masai mimi mkabila?
Trying to convince people that, certain group of people, ethnic, tribe etc (all) are evil.Just the way you (jMali) are trying to do.
I wish ungejua the number of Tanzanian Tutsis,
So what!,Tatizo ni kwamba ni mtutsi,au ni kuwa alikulia nje ya Rwanda, so mwenye sifa hizo hana haki.
By the way i don`t hide my Identity the way you do,.
Mwanzoni kabisa nilijitambulisha i am proud of who i am:
Kuna kitu you are trying to skip, kuna proud Hutus and Tutsis ambao hawana aibu ya kujitambulisha who they are.
Kwa upande mwingine kuna wale ambao wana aibu ya madhambi waliyofanya, wao au wazazi wao hao ndio tunawakuta humu wakijifanya wa Tanzania.
Utashangaa mtu kila siku from Monday to Sunday yuko Rwanda kimawazo, every post every like he gives out is on Rwanda topic, harafu eti mimi mTanzania...
Wengine wanajadili issue zinazoangalia nchi yao and offcourse na nyie ki roho you are no there, instead mko Rwanda.
And for you kila anaye support serikali ya Rwanda basi ni MTutsi..
Fikra hizi, na ideology kama hizi zitawasakama mpaka kuzimu, manake roho itaendelea kuwauma,Rwanda inasonga mbele
nyumba kubwa umeona hapo kwenye red? eti "wahukumiwe" kwanza halafu ndio ijulikane kama wana hatia au la....hahahaha. Ama kweli watutsi kiboko. Yani kama wewe mhutu uliyekuwa nje, ile kurudi tu kwanza unahukumiwa miaka yako kadhaa for genocide against tutsis no doubt! Halafu ndio kesi inaanza kusikilizwa.
1. cha ajabu nini? aliyetoa mada ni mtutsi na wala hakatai kabila lake, sasa hapo kuna ubaya gani kumuita mtutsi?
2. mkabila ni wewe ambaye pamoja na mimi kutokuwa mhutu bado lazima unipachike uhutu ili hoja zako mfu zitumike. Hivi unadhani kuwa mhutu ni dhambi mpaka mtu akiwa mhutu akatae kuwa yeye sio mhutu? kwa nini mnapachika watu uhutu kwa nguvu?
3. Rwanda ina ukabila ndio maana suala la wether mtu ni mhutu au mtutsi lina-matter. Hakuna mhutu wala mtutsi original humu JF hata mmoja kwa sababu wanyarwanda hawa wako Rwanda hawana time na bongo, hawazungumzi kiswahili at least kiswahili cha kujadili na watu. Wanyarwanda pekee humu JF ni nyinyi watutsi mlioko bongo, na wale watutsi waliokulia bongo ambao wamerudi Rwanda. Cha kusikitisha most of you guys ni raia kabisa wa Tanzania ambao kwa sababu tu ni watutsi basi mnajiunga na kagame/Rwanda kutokana na ukabila.
Ndugu yangu MCHAMBAWIMA!Wewe mwenyewe ndio unatakiwa ujibu hayo maswali! Kwa nini mtu akiongelea Rwanda vizuri basi unamwita mtusi? Kwa nini unasema watutsi ndio wenye sauti Rwanda? Nini kinachokupa hasira kiasi kwamba kizuri chochote kinachofanyika Rwanda ukione mavi? Kwa nini kila kukicha unaiombea nchi yetu vita? Kwa nini unapenda sana kujihusisha na Jambo News na Inyenyeri ambao wazazi wao wote wanatafutwa na nchi za ulaya zinataka kuwatuma Rwanda? Kwa nini reference zako zote za kuponda Rwanda unazitoa kwa watu wanaotiliwa mashaka ambao watanzania wa kweli hata hawawajuwi? Questions can go on and on...
Hao unaosema wako proud kuitwa kikabila ni wauza sumu wenzako, juzi jumamosi nimetoka kumpokea brother wangu mmoja aliyekuwa anaishi ulaya lakini kaamuwa kurudi moja kwa moja, alinichekesha sana aliniambia aliwahi kumzaba kibao mzungu kwa kumuuliza kabila lake, alafu akamuuliza wewe nshawahi kukuuliza kabila lako? kwa hiyo hao wauza Kabila wenzako mtajijua hamna anyewakataza ila tu isiwe kisingizio cha kumuumiza mwenzako kwisha, hao unaowauliza huko saa zingine hawapendi au wanaogopa kusema kabila zao kwa sababu wanajuwa Interahamwe zimetapakaa in the region, ingawa mshajifunza lugha.
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.