Umsolopogas
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 256
- 69
.SADC haina interest na FDLR kuwa chama cha siasa, sijui kwanini mnajiaminisha hivyo.
Kinachopiganiwa ni amani Congo. Waweke silaha chini, wawe wakimbizi kama walivyokuwa Mpanda, au warudi Rwanda wakapigane humohumo ndani ya Rwanda.
Nobody is interested in the "Real" banana republic affairs. We are more interested with Congo,they have a huge economic potential.
Hao wengine wasilete chokochoko,watapata kibano alichopata banyamulenge.
Wapigane ndani ya Rwanda? Hivi huko imebaki hata sehemu ya kukanyaga kweli? Milima 1000. Watu milioni 10?. Wewe unafikiri kwa nini wanaitaka kivu kusini. Nchi imejaa ati. Oh! Nimesahau na gorila.
Mkuu hiyo ndiyo makitu Kagame hataki.Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????
Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????
kwa style hiyo hapigwi mtu, kama umeamua kuweka siraha chini huku kwenu unapokelewa kwa mikono yote miwili kama tufanyavyo kila siku mkiibuka kutoka kwenye misitu ya DRC ila cha muhimu sio siraha tu kama unavyojuwa Jmali, lazima tukupitishe kwenye chuo chetu cha kutemesha sumu maana nasikia huko msituni mnajiona nyinyi ndio watu na wengine sio watu na lazima wauwawe, huku sio hivyo, lazima ujifunze ustaarabu wa kuishi na watu
WanyaRwanda wanaoipenda nchi yao'Sisi' ndio kina nani?
WanyaRwanda wanaoipenda nchi yao
hivi mkuu m23 ina mpango gani wa kurudi drc?
I am challenging you, to point any single statement from my ID inayoonyesha ukabila.Okay kumbe na wewe ni timu moja na Mchambawima...ni vizuri ume declare interest...ingawa sioni kama kuna unyarwanda kwenye comments zenu...zaidi naona wahutu na watutsi
I am challenging you, to point any single statement from my ID inayoonyesha ukabila.
Dream on na misikio yako mikubwa kama ya tembo.Mkuu hiyo ndiyo makitu Kagame hataki.
Hao Wahutu kuunda chama cha siasa, halafu ku-contest elections wanaweza kushinda by sheer numbers game.
Hilo Kagame hataki kabsaaaaa!! Maana hataki kusrudi msituni.
Wakishinda kisiasa hao wahutu, wanaweza kumpeleka Kagame lupango au kumwua kabisa kwa mauaji ya Kobeho na sehemu nyingine ambazo RPF imethibitika waeua.
Huwa una mdomo mchafu wenye harufu!!Dream on na misikio yako mikubwa kama ya tembo.
Kama umeshindwa kuonyesha the base of that so called analysis, it means your arguments are baseless.Si ID my dear...natumia discourse analysis...maandiko yako ndio yanayokuhukumu...
Subiri ...from now ntakuwa na underline pale unapoonyesha chuki ya kikabila...
Hivi mkuu M23 ina mpango gani wa kurudi DRC?
hata akijikanyaga kujibu bado jibu lake litakuwa la uwongo kama kawaida ya m.............de
Si majeshi si lolote, ni wauwaji tu! Wangekuwa ni wanajeshi wangeingia front sio kuishia kuuwa raia wasio na hatia. Na Kabila alivyomtu wa ajabu kaona kule Kivu washauwa wakutosha sasa kawatafutia project nyingine Kisangani, yaani tabu tupu DRC. Kama anataka kweli kuwasaidia awatume kwetu tuwatemeshe sumu zao alafu waingie uraiani nao wasaidie kujenga Mille Collines yetuUmefufuka kutoka katika wafu. Majeshi yenu ndio yanafungasha virago hivyo. Si uende ukawasaidie?
Umefufuka kutoka katika wafu. Majeshi yenu ndio yanafungasha virago hivyo. Si uende ukawasaidie?
Kama umeshindwa kuonyesha the base of that so called analysis, it means your arguments are baseless.
I insist point out anywhere from my posts niwapi naonyesha ukabila,otherwise nitake ladhi;
May be kama unasema kum support Raisi wangu ni ukabila.
Wewe ni mtutsi au siyo mtutsi...na kama ni kweli mtutsi jiulize nimejuaje...
Najua utayeyusha kwa kukimbilia kuwa wewe ni mnyarwanda ...lakini ukweli unaujua kuwa wewe ni mtutsi...
Ukiweza kuandika in such a way mtu kama mimi au yeyote asijue wewe ni wa kabila gani hapo ndio unaweza pinga kuwa huna ukabila...
Wewe ni mtutsi au siyo mtutsi...na kama ni kweli mtutsi jiulize nimejuaje...
Najua utayeyusha kwa kukimbilia kuwa wewe ni mnyarwanda ...lakini ukweli unaujua kuwa wewe ni mtutsi...
Ukiweza kuandika in such a way mtu kama mimi au yeyote asijue wewe ni wa kabila gani hapo ndio unaweza pinga kuwa huna ukabila...
Usilete ukabila hapa.