Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 447
- 230
Wanajamvi naomba kuuliza hivi kama umekua admitted katika Chuo chochote kile ni lazima u-confirm kwenye akaunti yako ya TCU na kama usipo confirm ni nini kinaweza tokea? Naomba msaada wa maelezo tafadhali.