SYRE BOY JOSEE
Member
- Sep 2, 2013
- 10
- 2
Nilikuwa na mpenzi wang akaenda depo la moja wapo ya chombo cha ulinzi na usalama. Kutokana na tabia tabia ya kutamani nikajikuta nimeingizwa kwenye mtego na binti mmoja nika mtia mimba ila tuliachana naye. Sasa bac alipo rudi yule wa depo ambaye kwenye mahusiano tuna kama miaka 3, akagundua kuwa mi nilisha halibu akapunguza ma love kuwa siliana na wasiliana naye ila kuna vi2 vime pungua ambavyo mwanzani nilikuwa navipata lakin sasa imekuwa tofauti sasa nifanye kwake nangali bado na mpenda