Confirmed: Mzinga Alert!

Hahaha, unapata hasira tu kwa sababu hauna cha kupigwa mzinga. Mbona akidokoa nyama kwenye chipsi zako haumind? Samahani lakini kama i hit where it hurts.....


Mwenzio niliambiwa 'baby, naomba unipokonye hii simu'
nikajichekelea manake ilipoletwa niliiangalia nikasema hii ingenifaa but im too proud to ask. Kumbe mwenzangu anaskia raha kupokonywa. Hujapenda wewe!
 

Huyo hana akiri na huo ni ubinafsi kwann vitu vyake vizr vizur unataka viwe vyako?
 

kwa mwanaume kama me nikkupa promis andka maumivu
 

He he he,afadhali umenipa cheko aisee.
Hii kali sana.
 
guta mylove...me siunajua tigo situmii..hmm unataka kumpigia nani?me mdogo wako wa boarding kanibeep hapa..rusha hiyo voda basi nmpunguzie.. Ungerusha kwa mpesa ili nipate bonus..hmmmuaahh shingoni bebi'angu
Swts yaani leo naumwa sijui malaria naelekea hospital. ........................................, nimetoka hospital nahitaji juice machungwa kwa wingi, siunajua tena dawa zinavyochosha.
 
Last edited by a moderator:
Swts yaani leo naumwa sijui malaria naelekea hospital. ........................................, nimetoka hospital nahitaji juice machungwa kwa wingi, siunajua tena dawa zinavyochosha.

poa usijal mpenzi.. Pole sana, ngoja nije nikatoe hela atm au mpesa.. Iweke atm karibu.. Nakuja kukukamulia juisi mwenyewee.. Apa sina hata kumi.. Nakuja na tax kamata elf 5 mkononi!!!..hmmmmuaaah!!
 
Last edited by a moderator:
poa usijal mpenzi.. Pole sana, ngoja nije nikatoe hela atm au mpesa.. Iweke atm karibu.. Nakuja kukukamulia juisi mwenyewee.. Apa sina hata kumi.. Nakuja na tax kamata elf 5 mkononi!!!..hmmmmuaaah!!

asante sweet. hata hiyo inatosha usijali, ukimcheck kamaind,---- unajua nimekuta ATM hazifanyi kazi, kesho nitakutumia kwa mpesa. ----- sweet nkwambie kitu, hivi unajua kupendwa hadi ukajifeel? --- .
 
Ukiona pia siku iyo unatumiwa sms tamu na nyiingi, ujue baadae utalipia na ziada.
 
Dawa ya mizinga usikatae...kubali.....! Tao advance uliyopanga kumpa...asi dictate...Kula Mzigo...Kimbia Sana!
 
Mimi naweza kumpa mwanamke hata milioni...lakini nitake Mimi .....akiniomba kijinga namtoa dhamani on the spot.....I like independent women....na sio lazima wewe na pesa but ajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…