Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Ni kweli hata me ilinshantokea sana,nilikuwa na ngapepe anasoma St John univrsty Dom ndo ilikuwa zake.Inaweza kupita hata week hajaniita beib ikiwa pamoja na kutontafta mpaka mie ndo nimuanze.Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
Mbona mpana hivyo!Bahili yake sabuni tu!!!!
Sio kwa mbali mkuu, kwa karibu sana tu. Hivi vitoto vya kike sikuizi vina mizinga sanaaa!Aisee kuna kaukweli kwa mbaali...
Ha ha ha haaaaaa! Hujatulia hata kidogo!
ha ha ha!
Aah wapi. Ninakopa hadi wamenizoea mzee wa mikopo. Uzuri wake ikifika 30 days, doubtful debt, siku 60 bad debt, siku 90 na write off.
Sabuni zitasubiri saaaaaana.
mi nawashangaa wote tunapata hamu lakini pesa atoe mwanaume tuoneeni huruma jamani dunia inabadilika hii mtaanza nyie kutuhonga idadi ya wanaume ni chache mnaelewa hilo?
lol...kumbe mnapenda k zenu ziliwe na wanaume wanaojua kuhonga...lol
Mbona mpana hivyo!
umenifanya ncheke kwa office
Damn!!!
marufuku kukopa k, usipolipa hiyo kesi hata mahakama ya mbuzi haisikilizwi.....
bby siunajua nmetoka kuugua jamani.. Af bby mpesa yako nmeona ina hela nihamishie basi hata laki mbili niende kumtaftia dada yako..hata kazawadi jaman..maanaa d aibu ujue...tangu ajifungue teh af(dada mwenyewe unamtaftia madera ya ef20 mawili,na mapampers ya jumla umemalizaa) hahaa huchomoki guta angu
Watu wanapenda papuchi za dezo we acha tu!!!!
sa sibora watumie sabuni au migomba bure kabisa free of charge!
Swala sio kupenda vya bure, swala je,utamu unakuaga kwa mwanaume tu?
Kama unajiona we ni nyuki mtoa vitamu kavitolee kwenye sabuni huko!!!!
Kwani yako inavurugika? inachafuka?
unavotamani kuzama ndani ujue garama zimetumika kaka!!!
Kwa iyo nikukule chumvi na hela nikupe sio? what a double standard!
Mlitaka mle vya bure tu afu msepe enh? Tit for tat is a fair game!
Hivi ukikuta haijafanyiwa service, ipo ovyo ovyo utaila???
Kwa iyo nikukule chumvi na hela nikupe sio? what a double standard!