Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Heheee lool!! Unaanza
you: Bby unanipenda?
Him: Sana bby wangu,kwan vip?
You; hamna mweziio nmekumisss.. Anyway umekula mpenzi?
Him: dah ndo nataka nkale mama
you: umevaa nini mpenzi wangu?
Him: kawaida tu.. Ile shat flan na trouser..
You: waoh umependeza bby.. Hmm af staki ao wadada hapo ofisin wakuzoee...(apo kushney habari yake)
him: (anakenua tuu)usijal mama .. Weye tena
You: (uspoteze point) poa hny..af nkwambie kitu mylove...
Him:: mh hmm sema mamii..
You: (kwa sauti lainiii..kama ndo siku ya kwanza mnpigiana simu)..
Bby naomba lak3..nnashida ad nahis kuzimia mmewangu..nyie maisha haya!!yan kaama unaweza unimpese leo au kama huna, fine promise me nkufate lini ofisini?
Him: apo hamuna ujanjaaaaa....)itakubidi uitikie hata kwa kichwa!!lol
You:bby are u therreee?
you: poa bby..i love u..hmmuah..ukale eh..unywe na maji mengi plz..usijeumwa kichwa mpenzi wangu..bye e..
Ha ha haaaa haa
mmh!!!!!!!! kazi kweli kweli jamani.
haswaa!!!!!! mwanaume asie na hela wa nn na wakti ht hatujui km tutaoana.
Uvumilivu ni kwenye ndoa tu basiiiiii.
Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
Mlitaka mle vya bure tu afu msepe enh? Tit for tat is a fair game!
Bahili yake sabuni tu!!!!
na wakiona vyaelea wajue vimeundwa!!!!!!! sijui wanadhani vitaundwaje bila mizinga.
Vijana wa siku hz ni full malalamiko tu,km hataki wa mizinga si aoe kbs.
we Mungu amekupa bure nawe toa bure yani nashangaaa sana mwanamke anatoa game kwa mwanaume kama favour flani hivi kwa style hii mtatumiwa mpake k...itasema yenyewe....Mlitaka mle vya bure tu afu msepe enh? Tit for tat is a fair game!
mimi nasema sina...halafu na malizia sorry for that...basi mwenyewe anakata simu halafu simtafuti...hahahahahhaAisee, ndivo jinsi walivo. sasa utafanya nini?
Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
Aisee hiyo imenikumbusha siku nyingi sana......ya kwangu ilianzia hivi......... Mambo D....Naomba nisindikize mahali leo saa kumi....... nilkamuuliza wapi tena D? akaniambia ni suprise....mzee nikajua naenda kupewa mambo juu ya mti nini...... mida kufika nikampitia nikaonyeshwa njia mpaka Rose garden...nikajua tunapaki naona mtu kimya.... kona ya kwanza ...kimya ...ya pili ...kimya ..ya tatu nikaaambiwa kata hapo D....nikakata alafu akaniambia tume fika...kuna kama geti jeusi hivi......tukagonga mlango ukafunguliwa tuapita uwani kwa nyuma kuna kanyumba kaself....kaomba funguo kwa huyo mama kapewa ..kafungua ...mzee kuingia ndani kuona nyumba tupu nikajua ohoooo.......mara kamwita mama, natambulishwa mimi ndio mme wake.....wakati hata miezi miwili ya mahusiano hatuna......mara anamuuliza mama kwa sauti.....mama ulisema sh ngapi tena? mama anajibu ...milioni sita mwanangu....mkataba ni wa mwaka....... tuakamaliza akagaaga haya mama tutarudi kesho asubui kulipa.
Ndani ya gari anaanza...sasa D tutafanyaje kuna pesa yangu imekwama mahali naomba basi uniongezee milioni tano ikitoka tu nitakurudishia......kidogo nigonge gari kwenye mti kwa mshtuko nilioupata.........nilimwambia haina shida we nipe siku mbili nitakukamilishia......nikaenda kwake.......nikapiga mashine kisawsawa mpaka asubui nikavaa nikasepa job......Toka siku hiyo hajaniona tena...namba ya simu nilibadilisha.....ofisini akija niko busy....
Toka nimeoa sijawai hata kuthubutu kufikiria nyumba ndogo kwa uzoefu nilioupata.
Haha ahaha ahhaaa ...cpati picha ulivyotoka jasho mkuu...nimecheka sana..

Hahahaaaa!!! Duuu!!! Mbaya zaidi utakuta na mwingine anaonyeshwa nyumba hiyo hiyo.
Mkuu kwenye redi apo umesahau neno "tu" ( "milioni tano TU" )
Mkuu kama ulikuwepo vile hasante kwa kunikumbusha, (Milioni tano tu)........ ni kweli unaweza kuta siku hiyo kuna wengine walishapelekwa kabla yangu....... pia nimewaza nyumba gani hamna hata dalali.....usikute kalikuwa kamradi kake ka kuvuna pesa.
ah vijana mnajitesa wewe mzinga kitu gani sii ndio anajionyesha wakugegeda na kusepa tuu....la msingi ni kwamba akila hela yako hakikisha unamgegeda basi
Ha ha ha, nakujibu yaani baby umechelewa kidogo tu kuna jamaa amenikopa sasa hivi lak 3,, lakini usijali nitakuchek later tujue tunafanyaje ( hiyo later sasa lazima ughairi)
hahaaa nakwambia.. Bby jaman basi nikopee..au twende atm yako.. Yan bby unanyima jamaani..(sauti laiinii)..
Nkopee kwa best ako af badae utamalizia.. Apoo mzinga unafuatana na upepo wa tarehe...yani kabari ya mbao..huchomoiii!!!!
nNikwambie yaani mpaka sasa mishahara yetu hawajatuingizia, kama utanisaidia laki moja nitashukuru.