Asante kama ni kweli.Hatimaye msimamizi wa uchaguzi majimbo mawili ya maswa amemtangaza John Magale Shibuda na Kasulumbayi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya Chadema
Asante kama ni kweli.
Hatimaye msimamizi wa uchaguzi majimbo mawili ya maswa amemtangaza John Magale Shibuda na Kasulumbayi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya Chadema
Chanzo na takwimu tafadhali