Hakika kweli Mungu umesikia maombi yetu, Mungu alisema Watu wangu niliowachagua hata kama wakiniasi, Wajaporudi, wakatubu dhambi zao, nitawasikia maombi yao na kuwajibu.
Kweli Mungu umejibu maombi ya watanzania wengi, UKatuamsha watu tukaenda kupiga kura, ukatutetea mafisadi wakashindwa kuiba kura kwakuwa ulinzi wako ulikuwa pamoja na kura zetu,
Thanks God because kura yangu kwa Mdee haikuenda bure.