Thanks. Karibu Mama utukomboe wana Mbezi Tegeta mpaka Mbweni. Nina Uhakika ni five years to come nyumba zote Mbweni zitakuwa na umeme.
Yaani CCM walitaka kuchakachua zaidi ya kura 20K, wanacheza!!!!!!!! Nadhani jamaa zangu Mbezi na Tegeta wamepaka walichotaka.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Chadema.