Elections 2010 CONFIRMED: Getrude Mongela aanguka Ukerewe

what hurts the most is that after she was given the honour of becoming the president of EAC, she put her unqualified relatives, about 100 of them, in positions far above their skills and capabilities! the EAC sent her packing and she stole furniture and other stuff from the EAC house she was living in. cha ajabu, serikali ya ccm ilivyoambiwa walipe madeni ya huyu mama mongella, walikubali na katika kodi tunayolipa, kiasi kinaenda kulipa madeni ya huyu mama yetu wa tz.

ccm jamani kwanini hamuwawajibishi mafisadi na wezi?
 
Nipo hapa Ukerewe kwa sasa na habari za uhakika kabisa ni kuwa MONGERA G wa CCM kaangukia pua na tayari amekimbizwa hospital kwa huduma ya kwanza. CHADEMA wameshinda kwa asilimia 66% ubunge na Madiwani kibao
Jamani, mwenye mawasiliano na S Machemli awasiliane naye ili tupate takwimu hapa. Vipi kwenye upande wa President, hali iko vipi!
 
sishangilii sasa kwani i have smelled a RAT.
NEC wanatumia uzoefu wao wa miaka yote sasa kujaribu kufanya UHAINI
 
sishangilii sasa kwani i have smelled a RAT.
NEC wanatumia uzoefu wao wa miaka yote sasa kujaribu kufanya UHAINI

Mkuu I have as well! Maana haingii akili kwa nini ktk majimbo yaliyo tayari matkea wakae nayo!!:doh:
 
huku ukerewe mambo safi sana,hongereni wana ukerewe kwa uamuzi wenu wa busara,vp watu wa mwanza?tunasikia tu masha kapigwa tena kwa kishindo,mbona hamleti mavituz?
 
Huyu mama on a serious note huwa simpendi huwa anajifanya Mungu mtu.
Peoplesssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
mwizi wa samani za nyumba huko bunge la Africa...
Na mtoto wake John Mongela ambae ni mkuu wa wilaya ya Kasulu ni dhulumati kweli kweli. Hata simtaki kumsikia. Yule Mongela hamnakitu na alipewa ukku wa wilaya sababu ya ushikaji na Vasco Dagama
 
Na mtoto wake John Mongela ambae ni mkuu wa wilaya ya Kasulu ni dhulumati kweli kweli. Hata simtaki kumsikia. Yule Mongela hamnakitu na alipewa ukku wa wilaya sababu ya ushikaji na Vasco Dagama
Acha uongo mkuu, mimi siyo msemaji wa familia ya Mongella lakini ukweli na uadilifu ni kitu kizuri sana. John Mongella ni mkuu wa wilaya ya Kigoma na siyo Kasulu. Huyu Bwana ni muungwana sana japo anaweza kuwa na mapungufu ya kibinadamu lakini siyo mambo ya kufurahia katika matatizo yao ya kifamilia. Naomba tuwe waungwana kiasi:smile-big::doh:
 
ebwana eeeh..kweli mwaka huu chadema ni noma si kitoto,mpaka bii mkubwa mwenye jina kubwakubwa nae chali..duuh
 
Back
Top Bottom