Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
mkuu vumilia watakupa maelekezo wala usiwe na wasiwasi
Wengine tumeandikiwa provisional selection ila tumeshaona majina yetu kwenye chuo husika kwahiyo na nyie muwe mnaangalia website ya chuo mlichokuwa provisionally selected kama wametoa majina mengine ila mkiifuata TCU huenda ikachukua muda labda mpaka rounds zote ziishe.
Sasahiv wameondoa selection ktk profile yangu, Hawa Nacte!!
Inasikitisha sana ila cha msingi ni kuwasiliana na Nacte kama ulisha kuwa provisionally selected na hiyo selection hauioni ila kujua shida nini.
Sasahiv wameondoa selection ktk profile yangu, Hawa Nacte!!
Hawapokei simu, then kesho wk end had j3
Mi nilikuwa na pressure hadi nimeamua kuwa mpole
Jaman naombeni tujadili kuhusu wanafunzi tuliochaguliwa ktk profile ambapo tumepewa provisional selection, Sasa nin hatma yetu maana Muda pia unaenda jaman, mwenye kufahamu bc tujadili ili tuone nini cha Kufanya Kwa wakt huu
Duh inawezekana ukabadilishiwa chuo ulichopangiwa mwanzo kwa mtindo huu?
Mimi Chuo Nilichochaguliwa WameConfirm Tayari.. Niliingia kwenye Website ya Chuo Husika Nikakuta wameshatoa Majina YETU Watu Wa NACTE
. Na wakatutaka Tu Confirm kwa Kuwatumia Email kama Tuta Report au Lah..
Na Nikatuma Wakaniconfirm na Pia Nikamtuma Mtu aende Hapo Chuoni kuulizia Akakuta Tumesha be Confirmed
DegreeKwan niny level Gan mliotumiwa email!?
Sasa kutiana stress tu, lkn naombeni nipate pale pale bonge la chuo