Ooh..asante sanaSubir mpk tar nane
Request utumiwe confirmation code, ukisubiri utumiwe itakula kwako.Confirmation code inachukuwa mda gani kutumwa, wazoefu mtujuze....mana kunaacount huku inadai confirmation code
Okay...asantee nitarequest mapemaRequest utumiwe confirmation code, ukisubiri utumiwe itakula kwako.
Mkuu,samahani.mm nimesha request ila bado sijatumiwa izo CONFIRMATION CODE .nafanya jee? .Request utumiwe confirmation code, ukisubiri utumiwe itakula kwako.
Nilisoma tangazo la tcu wakasema watatuma kuanzia kesho so sikilizieni kuanzia hiyo keshoMkuu,samahani.mm nimesha request ila bado sijatumiwa izo CONFIRMATION CODE .nafanya jee? .View attachment 1200922
Request kuanzia saa 6 usiku kuendelea, kwa maana kalenda yao inawataka mukonferm kuanzia Tarehe 8 hadi 13.leo ni Tarehe 7Mkuu,samahani.mm nimesha request ila bado sijatumiwa izo CONFIRMATION CODE .nafanya jee? .View attachment 1200922
SHUKRAN.Request kuanzia saa 6 usiku kuendelea, kwa maana kalenda yao inawataka mukonferm kuanzia Tarehe 8 hadi 13.leo ni Tarehe 7
SHUKRAN.Nilisoma tangazo la tcu wakasema watatuma kuanzia kesho so sikilizieni kuanzia hiyo kesho
Vipi umefanikiwa kupata?SHUKRAN.
Dah ! Mkuu .bado hawajatuma, na tangu asubhi najaribu kurequest ila bado kabsa.ata sijui nifanye nn saiv.Vipi umefanikiwa kupata?
Sikilizia hadi baaadae kama itakuwa inasumbua basi jaribu kuwasiliana ili upate technical support kwa chuo unachokitakaDah ! Mkuu .bado hawajatuma, na tangu asubhi najaribu kurequest ila bado kabsa.ata sijui nifanye nn saiv.
SHUKRAN .MKUU saiv wamesha nitumia .Sikilizia hadi baaadae kama itakuwa inasumbua basi jaribu kuwasiliana ili upate technical support kwa chuo unachokitaka
Mkuu confirmation code ni kwa Degree pekee..?SHUKRAN .MKUU saiv wamesha nitumia .
Mkuu.samahan..bado sijafanikisha .ktk code yangu kuna hii "$" ..ambayo nishangaika ktk laptop nyingi & watu wengi wamejaribu kunisaidia ila bado hatuyoni... ila baadhi wamejaribu kunambia ktk ile batani namba 4 kipo ya dollar ile ( yaani imastari moja kwa moja kuanzia juu hadi chini ) soo nikiweka hyo herufi. Inaandika " INVALID CONFIRMATION CODE" hasa saiv .yaani nimechoka mwili hadi akili .MSAADA PLEASE,KWA YEYOTE ANAWEZA KUNAMBIA KITU.Sikilizia hadi baaadae kama itakuwa inasumbua basi jaribu kuwasiliana ili upate technical support kwa chuo unachokitaka
Screen shoot iyo symbol niione....Mkuu.samahan..bado sijafanikisha .ktk code yangu kuna hii "$" ..ambayo nishangaika ktk laptop nyingi & watu wengi wamejaribu kunisaidia ila bado hatuyoni... ila baadhi wamejaribu kunambia ktk ile batani namba 4 kipo ya dollar ile ( yaani imastari moja kwa moja kuanzia juu hadi chini ) soo nikiweka hyo herufi. Inaandika " INVALID CONFIRMATION CODE" hasa saiv .yaani nimechoka mwili hadi akili .MSAADA PLEASE,KWA YEYOTE ANAWEZA KUNAMBIA KITU.
Na kama ni dollar sign basi wakati unafanya confirmation ukiifikia kamata shift kwenye pc yako na namba 4 kwa pamoja then endelea na zingineScreen shoot iyo symbol niione....
Screen shoot iyo symbol niione....