Wewe hata Mungu atachukua muda sana kukusamehe kwa kumfanyia ndugu yako wa damu kitu kibaya kama hicho ,usipotubu subiri balaa lake.Wewe ungemleta kwa Yesu angeshafunguliwa hayo maroho machafu na akawa mtu mzuri kwenye jamii yake
we mpuuzi kinachokufanya uchanganye na kiingereza nini?au tujue umeenda shule.au ndo umekuja leo kutoka usa
Sijakuelewa.Hivi sasa unajuta au unaturingishia au unajivuna au unatufundisha au unadeka kwa mikogo ya ufukuzaji wa nduguyo?Au ni nini hasa mkuu?
It was not about him. It was about me and other good members of our family.
nyambare nyangwine ni nani au ni mmoja wa magaidi walioshikwa?Hukumsoma Nyambare Nyagwine au Michael Kadege ? Hiyo inaitwa "CODE SWITCHING" or " CODE MIXING". Matter fact, English is our official language
Thats my question.Uliona anakuhaibisha na kuaibishs familia na uchawi wewe unaoweza; kwanin kwa kutumia huo uchawi hukumbadili tabia awe na sifa nzuri na tabua ambayo familia ingejivunia?
Ndio maana nimeuliza au uchawi hauwezi kufanya kitu positive?kama hicho cha kumbadili tabia awe mtu mwema?