HahahahaBasi sawa...
Ukianza hiyo ya sinza nishtue
Donatila vipi habari za Kigali?,halafu hata huagi jamani?,vipi Kagame hajambo?Umekuja JF kutafuta kiki..wewe kijana unaona sifa kutembea na wake za watu...usirudie kuleta utumbo wako hapa...
Mkuu tupe hyo ya mama mwenye nyumbaaUjinga uko wapi hapo?
HahahahahahaUkishaoa mshtue jamaa wa daladala
We lete ya sinza banana!Mnanihukumu siyo vizuri
ha ha ha