Confession - Nilivyotembea na mke wa mtu

Confession - Nilivyotembea na mke wa mtu

Mbona hujasema kama alikuwa Mtamu!

Nadhani hadi Magufuli apige marufuku kufanya mapenzi na wake za watu ndipo mtaacha...

Kuzini na mke wa Mtu mnataka Dicteta ndio muache
Hahaha
 
Hii ni stori ya miaka kumi iliyopita dada /kaka
Sema dada mimi sio kaka ww...hii hoja yako inaelimisha nini, JF ni sehemu ya great thinkers naona hapakufai nenda Fb ukaandike huko
 
Salaamu kwenu waungwana,

Mwaka 2005 /06 nilikuwa naishi Buguruni maisha ya kisela na kwa kiwango fulani, kwa kweli yale maisha yalikuwa magumu kidogo japo nilijipa matumaini kwamba lazima maisha yaanzie pahali.

Kwanza nilikuwa naishi kwenye nyumba ambayo ilikuwa haijakamilika ujenzi wake so hakukua milango wala madirisha zaidi ya zile nondo na nyavu. Bahati nzuri ile nyumba ilikuwa na fensi ya ukuta na geti.

Kwa kuwa nyumba ilikuwa haijakamilika, nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja ambacho nilikuwa nakilipia 8,000/= kwa mwezi na haikuwa na umeme bado. Jirani na ile nyumba kwa nyuma kulikuwa na nyumba ya wapangaji kati yao kulikuwa na mmoja dereva wa DalaDala, huyu kaka alikuwa na mke mzuri kwa kiwango cha kuridhisha.
mbona hlo suala nilijua na nimemfukuza mke kisa wew sasa nkikupata ujiandae
 
bora wewe umeconfess na mumewe kama yupo hapa tayr ameshajua sasa hyo ya sinza sasa inakuja lini
 
Ukishaoa mshtue jamaa wa daladala
Nimemuonea huruma huyo jamaa wa daladala, anadamka alfajiri anakwenda kusaka mbongo ili family yake ipate huduma..

Huku nyuma wife anapika anamhonga jamaa msosi ili apate power ya kumkunja...

Dereva anajua home kaacha mke kumbe "Kurumbembe"
Maskini derevaaa....
 
hehehe bila shaka kituo cha dry chama ulishuka pale.
 
Back
Top Bottom